Tetesi: Watumishi wenye Elimu ya Darasa la Saba walioajiriwa kuanzia 2004 waondolewa kazini

Nchi haijengwi na wenye elimu yajuu ,maana weng wao wanapenda kukaa ofisin.


BY THE WAY ,,,HII SERIKALI KAZI YAKE NI KUTIMIZA SHERIA ZILIZOKUWEPO TOKA AWALI ...

TULAUMU WALOIWEKA HUKO MWANZO
 
Acha tu mkuu rudi nyuma miaka iyo ya 2004

Mtu ukimaliza std 7 unaweza kwenda veta ukapiga ata udereva uselemara ufundi wa magar ama ata computer Na unakua competint kabisa Na unaajira afu unakuja toka kwa style Kama hii mkuu ni hatar sana
Halafu rais anawaambieni zalisheni tu, yeye atasomesha.

Wakati wafanyakazi wa serikali kashindwa kuwaendeleza kielimu anawanyanyasa kuwafukuza bila mpango.
 
Umeona mkuu, naamini mpaka sasa hivi kila familia mojamoja humu Tz imeshasomeshwa namba tayari, nakuambia 2020 hapatoshi Tz, labda asitokee mtu mwingine mwenye akili yenye nguvu humu Tz ili kugombea urais,

Lazima nihame mji kwa muda.
 
Hao waliotoa ajira wakati kulikuwa na Katazo la kutoajiri std seven Serikali ni tena, Adhabu yao nini? Unakaa na Mtumishi miaka nenda rudi kimakosa Leo unamfanya ndoto yyake izimike. Wanastahili nao kutumbuliwa!

Mi naona tuwe tu hata na chebe ya huruma basi kha! hivi Tz tunatakiwa tuishije sasa au ndiyo kuishi kama ibilisi

Ambao hawajajiendeleza ndiyo inawahusu.Kama uliishia la saba ukaenda kozi zile za NABE,ukaja NABOCE ezi zile huwezi ondolewa, lakini unafanya kazi za huasibu hata NABE huna inakuhusu.
 
Kuna watu sifa za ajira yao ni kujua kusoma na kuandika na hakuna haja ya kujiendeleza kielimu . Dah dunia is not fair kwa kweli.
 
Anajenga Tanzania ya viwanda,! Sasa wale mafundi/technicians ambao wana uzoefu mkubwa badala ya kuwahamishia viwandani anawafukuza?

Tanzania ya wasomi hii sasa japo usomi unaweza ukawa kwenye vyeti bila uzoefu muhimu.
Rais wa wanyonge akikandamiza wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…