Watumishi zaidi ya 200 Wasimamishiwa mshahara kisa ESS (PEPMIS)

Mr Mjs

Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
29
Reaction score
20
Watumishi wa kada mbalimbali Halmashauri ya wilaya ya Rorya wamesimamishiwa mishahara yao kwa mwezi huu kwa kushindwa kufanya planning ya kazi zao kupitia mfumo wa ESS(PEPMIS). Baadhi ya watumishi hao ni pamoja na wale ambao wapo Shuleni wakijiendeleza kielimu.
 
Kwani kiingereza ndiyo nini kwako? Ndiyo akili? Ama maarifa ya kutatua changamoto za maisha? Unamshangaa mtanzania kukosea kuandika kwa lugha ya kiingereza kweli? Hebu makinika mkuu.
Muulize aliyeandika Kingereza kibovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…