Kama ndivyo hivyo mbona inasemekana WAKO VIONGOZI NA MACHIFU walioshirikiana na wageni hao kuwapatia WATUMWA....Enzi za utumwa hali ilikuwa ni mbaya sana. Mtumwa alikuwa ni mtu wa hogu kwenye safari yake yote. Nafikiri alipofika anapokwenda alipumua kwa ahueni baada ya kujua kuwa ameenda kulima.
Inasemwa kuwa mara tu walipofika pwani na kuona meli huzuni kuu iliwaingia. Macho yao yalionyesha kukata tamaa kabisa. Walijua safari ya kwenda kuliwa imefika. Mara meli ilipotingishika kuondoka, vilio vikubwa sana vilisikika.
Hii hadithi ilitumiwa pia na wafanyabiashara ya watumwa wa kiarabu. Wazungu walipopiga marufuku utumwa, na kuanza kuvamia misafara ya waarabu. Waarabu waliwambia waafrika kuwa wazungu wanawakomboa ili kwenda kuwala.
Mwafrika ndie aliyependa kuchukuliwa utumwaniPumbavu zao waliokuwa wanafanya biashara ya utumwa kwa waafrika, wajaribu tena watakiona cha mtema kuni
π₯ Boss hi kitu tunafanyiana sisi waafrika wenyew Wala hawahitaji kuja, even worse wao hawaipendi hata kidogo na Ni kosa lenye adhabu Kali wakikulamba unapiga izo mbanga,Pumbavu zao waliokuwa wanafanya biashara ya utumwa kwa waafrika, wajaribu tena watakiona cha mtema kuni
Walipenda wenyewe walishindwa vipi kujikomboaKama ndivyo hivyo mbona inasemekana WAKO VIONGOZI NA MACHIFU walioshirikiana na wageni hao kuwapatia WATUMWA....
Kwa hiyo hao machifu wasaliti walikuwa wanawapeleka watu wao kuwa VITOWEO?!!! Khaaa π³π³π³
Na hao waliochukuliwa hawakupambana mpaka kufa huku wakijua wanakwenda kufanywa KITOWEO?!!!π³π³
Jamaa waliochukua watumwa wazee wetu WALITUDHALILISHA na KUTUFANYIA UKATILI SANA...daah inauma mno......
Najaribu kutafakari hapa kuwa unajua kuwa adui anakuchukua ili akakufanye KITOWEO...unakubali kutokufa nyumbani kwenu?!!!Walipenda wenyewe walishindwa vipi kujikomboa
Kinachoshangaza wako MACHIFU waliohusika kuwauza wenzao....je waliwatoa BURE?!!Me nadhani ilikuwa Ni kama ajira tu Seema posho yake kiduchu..waliochukuliwa burebure wachache ila wengi walidanganyika na kaposho maana pesa SI tayari ilishakuwepogi?
Hakuna binadamu utamchukua bure awe tu anafanya kazi asijaribu kutoroka..me nadhani walikuwa wanapatana vzr tu Seema hili neno utumwa limesimama badala ya malipo kidogo.Kinachoshangaza wako MACHIFU waliohusika kuwauza wenzao....je waliwatoa BURE?!!
Je hakuna familia zilizopewa fedha kutoa vijana wao waende wakafanye kazi huko "mbinguni kwa watu weupe"?!!!
Kaka kwa wakati ule walikua hawana namna..walikua kwenye giza hasa! Japo ni kweli kuna mengi hayako sawa.Najaribu kutafakari hapa kuwa unajua kuwa adui anakuchukua ili akakufanye KITOWEO...unakubali kutokufa nyumbani kwenu?!!!
Hizi simulizi za UTUMWA na UKOLONI zina mengi HAYAJAELEZWA VYEMA.....
Naam mkuu wangu mengi hayajaelezwa vyema......Hakuna binadamu utamchukua bure awe tu anafanya kazi asijaribu kutoroka..me nadhani walikuwa wanapatana vzr tu Seema hili neno utumwa limesimama badala ya malipo kidogo.
Leo wakija Hakuna kijana atabaki Afrika.Kinachoshangaza wako MACHIFU waliohusika kuwauza wenzao....je waliwatoa BURE?!!
Je hakuna familia zilizopewa fedha kutoa vijana wao waende wakafanye kazi huko "mbinguni kwa watu weupe"?!!!
Mkuu wangu.....Kaka kwa wakati ule walikua hawana namna..walikua kwenye giza hasa! Japo ni kweli kuna mengi hayako sawa.
Ila machifu wa kiafrika walishiriki sana kwenye hii biashara. Wakulaumiwa si wazungu pekee. Chifu fulani analipwa bunduki, nguo, kipande cha chuma kisha anenda kuvamia kabila lingine na kuwapa wazungu. Ilikuwa ni biashara ya pesa nyingi sana.Kama ndivyo hivyo mbona inasemekana WAKO VIONGOZI NA MACHIFU walioshirikiana na wageni hao kuwapatia WATUMWA....
Kwa hiyo hao machifu wasaliti walikuwa wanawapeleka watu wao kuwa VITOWEO?!!! Khaaa π³π³π³
Na hao waliochukuliwa hawakupambana mpaka kufa huku wakijua wanakwenda kufanywa KITOWEO?!!!π³π³
Jamaa waliochukua watumwa wazee wetu WALITUDHALILISHA na KUTUFANYIA UKATILI SANA...daah inauma mno......
π€£π€£π€£Leo wakija Hakuna kijana atabaki Afrika.
Zamani walichukuliwa kwa nguvu siku hizi wanajazana ubalozini kugombea viza
Ni kweli mkuu.....Ila machifu wa kiafrika walishiriki sana kwenye hii biashara. Wakulaumiwa si wazungu pekee. Chifu fulani analipwa bunduki, nguo, kipande cha chuma kisha anenda kuvamia kabila lingine na kuwapa wazungu. Ilikuwa ni biashara ya pesa nyingi sana.
Hata kuna falme za kiafrika zilimiliki watumwa. Mfano Ghana, waakan walijenga ufalme wao kwa kutumia watumwa migodini na mashambani.