Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Enzi za utumwa hali ilikuwa ni mbaya sana. Mtumwa alikuwa ni mtu wa hofu kwenye safari yake yote. Nafikiri alipofika anapokwenda alipumua kwa ahueni baada ya kujua kuwa ameenda kulima.
Inasemwa kuwa mara tu walipofika pwani na kuona meli huzuni kuu iliwaingia. Macho yao yalionyesha kukata tamaa kabisa. Walijua safari ya kwenda kuliwa imefika. Mara meli ilipotingishika kuondoka, vilio vikubwa sana vilisikika.
Hii hadithi ilitumiwa pia na wafanyabiashara ya watumwa wa kiarabu. Wazungu walipopiga marufuku utumwa, na kuanza kuvamia misafara ya waarabu. Waarabu waliwambia waafrika kuwa wazungu wanawakomboa ili kwenda kuwala.