Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Zionists hawajawahi kushambulia nchi nyingine kama hawaja chokozwa; usiwaonee jamaa wa watuHao ni zionist of Africa
Zionists hawajawahi kushambulia nchi nyingine kama hawaja chokozwa; usiwaonee jamaa wa watuHao ni zionist of Africa
Watanzania hasa watanganyika na akili zao zilizomezwa na simba na yanga, hili waamini jambo fulani ni kweli ni mpaka waone madhara yake.Kila nikisoma ule waraka wa mchungaji Mtikila kuhusu Bahima empire nikalinganisha na kinacho endelea Congo halafu nimsikilize anacho kiongea PK kuhusu mgogoro ule then nije kukutana na maandishi kama haya, wallah naogopa. Mwandishi umeandika kwa hisia sana, wengine wataku kejeri lakini ipo siku tutakuja kuvuna mabua
Uweke hapa huo waraka wa Mchungaji MtikilaKila nikisoma ule waraka wa mchungaji Mtikila kuhusu Bahima empire nikalinganisha na kinacho endelea Congo halafu nimsikilize anacho kiongea PK kuhusu mgogoro ule then nije kukutana na maandishi kama haya, wallah naogopa. Mwandishi umeandika kwa hisia sana, wengine wataku kejeri lakini ipo siku tutakuja kuvuna mabua
Watutsi wetu wamedhibitiwa. Kabla hatujafungua macho awamu ya kwanza walijaribu kupindua nchi kwa kurubuni wanajeshi. Ndio ile kesi ya jaribio la mapinduzi enzi ya Nyerere. Mikutano ya siri ilikua inafanyika Dar es Salaam na Ngara.Msiwalalamikie watutsi wakati na ninyi hapa kwenu mna watutsi wenu.
mkuu unaelewa vizuri ninachozungumzia. Wabantu tunalala huku kuna mbari ina mpango wa muda mrefu kututawala.Hii ni elimu ambayo hawataki mbantu aijue kamwe ungekua rwanda unaongea ukweli huu wanapita na wewe , hawa watusi wana mpango wa mda mrefu wa Hima empire wa kutaka kuutawala ukanda huu mpango wao nikama umeshindwa maana wameambulia nchi 2 tu uganda na rwanda ila kagame amepambana na m23 aiangushe kishansa baada ya hapo achukue burundi aje kumalizia tanzania ila vita hiyo kakosa nguvu ya dipromasia mtusi kashindwa tena
Mimi ni mtz m'bantu tulio wengi kabisa tz. Wahutu ni wabantu kama sisi. Wameteswa sana na hawa watutsi. Kufikiri wao ni watu wajinga hawastahili kuongoza nchi hata kama wao ni asilimia 85 ya raia. Hao watutsi sasa wanataka kuongoza DRC licha ya kwamba ni raia kiduchu wa kuja (hata asilimia 1 hawafiki) kwenye nchi hiyo.Mwisho watu watakufikiria wewe ni Mhutu!