Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna huo uwezo.Kwa jinsi ilivyokuwa inasambaa nilidhani ni kweli
Kuna hii video imechukuliwa sasa sijui hawakukaa kukubalianaKwa jinsi ilivyokuwa inasambaa nilidhani ni kweli
You don't have the courage to do tit for tat with Kenya.
Kwani ulipost tweet bila kusoma?😂😂😂 Mko na shida kweli.si wizara ya afya wametoa maamuzi mkuu wa Mkoa ndo kajibu Uhuru! Waziri wetu hana muda mchafu kujibu mvuta bangi!
Duh watu wameinyaka video 🤣 🤣🤣Kuna hii video imechukuliwa sasa sijui hawakukaa kukubaliana
View attachment 1452687
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo shauri yakoHamna huo uwezo.
Hii serikali inajichanganya isjue hata inasimamia wapi. Sasa nn cha kuandika fake news ilihali umerekodiwa ukiongea na madrevaKuna hii video imechukuliwa sasa sijui hawakukaa kukubaliana
View attachment 1452687
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wasiwasi. Kama umefunga kwa ndani, automatically umefungiwa kwa njeTuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.
tuanze na aliyeandika ajaribu kutia pua!Mkenya yeyote ajaribu kuingia Tanzania ajue ukweli wa mambo. This is very smart of magufuli.. "Officially he has not closed the border" Mkenya anaye taka kujaribu sumu kwa kuionja afanye hivyo tu.View attachment 1452757