WaTZ mbona mnasuasua, mara mseme mumefunga mara hamjafunga mpaka na Kenya?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.

Kwani kuna tatizo kwa LDC kufunga mpaka wake.. i
 
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.
Acha wasiwasi. Kama umefunga kwa ndani, automatically umefungiwa kwa nje
 
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.

Tumepoteza funguo
 
Mkenya yeyote ajaribu kuingia Tanzania ajue ukweli wa mambo. This is very smart of magufuli.. "Officially he has not closed the border" Mkenya anaye taka kujaribu sumu kwa kuionja afanye hivyo tu.
MAGUFULI....NDANI YA JWTZ_0 (1).jpg
 
Back
Top Bottom