WaTZ mbona mnasuasua, mara mseme mumefunga mara hamjafunga mpaka na Kenya?

Zambia reopens border with Tanzania to cargo after COVID-19 closure

Alikuwa anatikisa kibiriti tu, kiko wapi sasa? Nasisitiza bila Tanzania hakuna jirani atakayekuwa salama nyang'au wewe

Tafuta mtu akutafsirie hizo taarifa kama kingereza haukijui, mpaka umefunguliwa kwa ajili ya mizigo tu lakini hakuna kajamba yeyote wa kawaida anaruhusiwa kuingia Zambia, mumefungiwa na majirani wote hadi muache kunuka corona.
Tafuta mtu akutafsirie nini maana ya hii sentensi " but people were not allowed to cross, a provincial minister told Reuters. "
Na bado haijandoa kupima, lazima madereva wenu wapimwe, acheni kuambukiza majirani corona, nyie endeleeni kuogelea kwenye kirusi lakini muwaache majirani salama.
 

- Uking'ang'ania lazima uingie huku, basi lazima tukupime, tukikupata na corona tunakuondosha nduki urudi uendelee kuambukiza huko kwenu ambapo umaskini umewafanya mumeshindwa kupambana na kirusi.
- Vinginevyo tunapokezana magari, ila baada ya kuyapuliza
- Dereva wetu asiruhusiwe kuingia Tz, maana huwa wanageuza na corona, waishie hapo mpakani basi.

Sina kingine cha kuongeza, ukizingatia hayo machache tutaendana vizuri sana na wala hutaskia tukiwasema kitu, mjifie au mpone huko mtajua wenyewe.
 
Hasira hizi nyie Wakenya ni kwa sababu sasa ni dhahiri idadi ya malori yanayoingia Kenya kutoka Tz ni mengi kuliko yenu yanayoingia Tz, sasa mnaona wazi kuwa kuwa kuna aspect za kiuchumi tumesha wapiga gap sasa badala ya kujitathmini mmefikaje hapo mnajififichana chuki zenu kwa madereva wa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Boya kweli wewe nyang'au, wewe unaruhusiwa na nchi gani kuingia nchini mwake kama sio mizigo tu mdiyo inaruhusiwa? Kenya jirani yako yupi anakuruhusu kuingia nchini mwake kipindi hiki? Ilikuwa Tanzania peke yake lakini kwasasa hata sisi hatutaki.

Hivi unafuatilia statistics za madereve wa Malori Uganda kweli boya wewe? Nani anawaambukiza waganda Corona zaidi kwasasa? Nilifikiri ni rais wenu tu ndiyo mvuta bangi na mlevi kumbe hadi raia kaishawaambukiza. Hangover ya bangi na chang'aa ikikuisha njoo tujadili kwa facts hapa.
 
Siku ya pili tu mnachachamaa hivi..,I wish ningekuona ulivyo usoni...ila ngoma bado..,expect more
 

Nyie sasa hivi mna chokochoko na majirani wote, mumeshindwa kuchukua tahadhari hadi imekua balaa kwenye mipaka yote, hebu soma hizi taarifa Pamoja na makubaliano ya awali ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda. - JamiiForums
 
Kunyaland nchi pekee Afrika Mashariki ambayo mashoga wanauthubutu wa kujitokeza hadharani kudai haki zao. Haya majitu ndiyo yalitakiwa yatengwe na EAC sijui kwanini Uganda na Rwanda hawalioni hili
 

Wacha nikuache maana naona hasira zote hizi hazitapungua maana majirani zenu wote hawawataki, mnanuka corona ona hizi taarifa hapa Pamoja na makubaliano ya awali ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda. - JamiiForums
 
Siku ya pili tu mnachachamaa hivi..,I wish ningekuona ulivyo usoni...ila ngoma bado..,expect more

Ningependa JF wafungue na sehemu ya mataifa mengine kama Rwanda, Zambia n.k.
Yaani mngekua mnageuza geuza humu, ukijibazana na Mkenya unakwenda kupambana na Mnyarwanda, kisha unapidisha kwenda kukutana na Mzambia yaani kote kote, haya fuata huu uzi ukatukane kwa Wanyarwanda maana mumekataliwa na wote Pamoja na makubaliano ya awali ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda. - JamiiForums
 
Hahaa ni kiswahili kigumu ama nn...soma huo uzi mzee na comment zake uelewe...madereva wetu ndo wamegoma kuingia hata baada ya watu wa Rwanda kuwahakikishia usalama... Halafu mwanzoni si walikaza tusiingie? Shoo shoo tu..,bado nyie.
 
Hahaa ni kiswahili kigumu ama nn...soma huo uzi mzee na comment zake uelewe...madereva wetu ndo wamegoma kuingia hata baada ya watu wa Rwanda kuwahakikishia usalama... Halafu mwanzoni si walikaza tusiingie? Shoo shoo tu..,bado nyie.

Wamegoma kuingia kisa wananyanyapaliwa kule na Wanyarwanda, ulitegemea nini kama hauchukui tahadhari umeng'ang'ania kuingia nchi ya watu hivyo hivyo bila kupima.
Ni kama zile enzi mlikua mnaongoza kwa kukamatwa na unga, ilikua ukisema wewe Mtz, yaani unachunguzwa mara mbili mbili.
 


Hivi unafikiri madereva wenu wa malori wanakaribishwa vizuri Uganda?

East African truck drivers carrying essential goods cross-border may also be transmitting Covid-19

Kenyan truck drivers consider boycotting Uganda destined cargo

Ndiyo maana nakwambia wewe umelewa bangi na chang'aa
 
They know who is the economic powerhouse in the region. Kenya is the biggest market for their farmers produce,
 
Nani aliyeitangazia dunia kuhusu kuufunga mpaka wake kati ya Tanzania na Kenya? Nyie mlisema mnafunga everything but malori na mizigo kama ya maziwa yaendelee kutoka kwenu kuja huku, RC (Remember RC ni kama gavana kwenu, sio wa ngazi ya kitaifa ) kawaonesheni njia, twende sasa na tuone nani mwamba is this EAC. Eti mnatafuta soko kwa Rwanda, Rwanda is a poor country ambayo wakazi wake hata umeme tu wanawasha giza likiingia, nzishe ( soma kinyume ) kabisa nyie
 
aibu yenu hii mungiki,eti wenyewe ndio mnajiita matajiri!
 
MK254,una kelele sana humu,lakini nakuhakikishia,kama Magufuli atafungua vyuo na kuruhusu michezo ianze kama alivyotangaza,utaona wakenya watakavyolinzisha kwa Uhuru,tusubiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…