MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #61
Zambia reopens border with Tanzania to cargo after COVID-19 closure
Alikuwa anatikisa kibiriti tu, kiko wapi sasa? Nasisitiza bila Tanzania hakuna jirani atakayekuwa salama nyang'au wewe
Tafuta mtu akutafsirie hizo taarifa kama kingereza haukijui, mpaka umefunguliwa kwa ajili ya mizigo tu lakini hakuna kajamba yeyote wa kawaida anaruhusiwa kuingia Zambia, mumefungiwa na majirani wote hadi muache kunuka corona.
Tafuta mtu akutafsirie nini maana ya hii sentensi " but people were not allowed to cross, a provincial minister told Reuters. "
Na bado haijandoa kupima, lazima madereva wenu wapimwe, acheni kuambukiza majirani corona, nyie endeleeni kuogelea kwenye kirusi lakini muwaache majirani salama.