WaTZ mbona mnasuasua, mara mseme mumefunga mara hamjafunga mpaka na Kenya?

 
MK254,una kelele sana humu,lakini nakuhakikishia,kama Magufuli atafungua vyuo na kuruhusu michezo ianze kama alivyotangaza,utaona wakenya watakavyolinzisha kwa Uhuru,tusubiri!

Labda Mkenya asiyekua na akili ndiye atatamani tushike simba kidevu kama mnavyofanya huko, kile Wakenya wengi wanalalamika kuhusu ni hili la kuwekeana lockdown had kwenye level ya mtaani kama vile Eastleigh, lakini wengi wanaunga mikono jitihada zingine zote.
Upokeaji wa hizi jitihada pia unategemea na level ya elimu ya wananchi husika na hali yao ya kiuchumi, kwa mfano Tanzania kwa kweli lockdown inaweza ikawatesa sana maana mpo tayari LDC kwenye level moja na Burundi, sasa mkifungiana sijui mtashuka hadi wapi.
 
Watu sasa hivi wanachekelea lkn effects za COVID19 bado sana,zitakapoanza kuonekana hizi mbwembwe zote zitaisha..Njaa kubwa inakuja.
 
Wakenya soon mtaanza kujamba.Covid 19 haiishi leo wala kesho
 
Kenya mtakufa kwa hofu.Mtajilockdown mwaka mzima.Corona haiishi leo wala kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…