Watz mkopo wote huu wa SGR wakati mlisema mtajenga kwa hela yenu

Watz mkopo wote huu wa SGR wakati mlisema mtajenga kwa hela yenu

Watz hapa msijifanye mnajua mengi kuliko waKenya kwa ujenzi wa reli... sisi tumeshuhudia reli yetu ikijengwa hadi ilipokamilika, kwahivyo tukiwaambia reli yenu imechelewa ujenzi kidogo tunajua tunasema nini ...

Hata hivyo, sitarajii kuona reli imelazwa anytime soon huko Tz. labda tu ile temporary rail hulazwa kutoka kwa kiwanda cha kokoto au saruji hadi pale reli inajengwa... hii ni kwasababu reli ya Tz ni continuous, kwahivyo reli haiwezi ikalazwa nusu nusu, itawabidi wangojee hadi kila kitu kingine kiwe tayari kabla ya kuanza kulaza reli...

lakini hata hivyo, bado nilitarajia baada ya mwaka mmoja na miezi kadhaa, tz sgr ingekua imeliga hatua kubwa sana! especially vile mlitangaza mnajenga usiku na mchana... kama unataka kujua ni nini nilitarajia muwe mmefanya, pitia ukurasa wa kwanza wa hii mada hapa ujione Kenya sgr ilikua imefika wapi mwaka mmoja baada ya ujenzi

Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape
usiwe mpuuzi kiasi hiki,kwa vigezo gani unataka SGR ya kenya ifanane na hii ya tz???
yetu ni ndefu zaidi.
yetu ni ya umeme.
inapitia sehemu zenye feature tofauti za kimazingira.
mkandarasi ni tofauti.
 
Tanzania ina propaganda mingi sana! siku ya nyani kufa, kila mti uteleza!"., vyanzo vya Tanzania vya mapato haviwezi hata finance the national budget kikamilifu! ilibainika wazi watatu wa kusoma budget ya Tanzania, na pesa iliyo tengewa reli haikutajwa. Nchi ya porojo, am pretty sure the rebase if checked properly it was cooked by bureau of statistics. Tanzania is claimed to have 2.7% unemployment rate, yet 19 million people(32%) are in extreme poverty bracket as at June 2018 according to poverty index report, bingwa wa umasikini EAC na SADC!!
SGR lazima pesa zikopwe, nchi za uchumi kubwa kama Nigeria na SA, Morocco zinakupa,kindly Tanzania LDC itaweza?
 
Cha kuchekesha ni kwamba JPM anasema reli na ndege zimwjengwa kwa cash, lakini kwa miaka jana na juzi, ripoti ya benki kuu Tz inaonyesha Tz imekopa deni la zaidi ya $1.9B kutoka kwa wafadhili tofauti... hizi pesa ziliingia directly kwa bajeti...kwahivyo just bevause hazikutangazwa zinatumika kwa sector gani, haimaanishi hakutenga hizi pesa za loan kwa ujenzi wa sgr ... na hata kama hakutenda directly, atakua alichukua pesa za afya na kutumia kujenga SGR kisha akatumia pesa za mkopo kujaza pengo la bajeti ya afya... vyovyote vile alivyofanya ukweli ni kwamba alikopa hela..... kama angekua hakukopa kitu kabisa miaka hiyo miwili ndo ningeamini

Ni wachache sana wataelewa hizi dynamics za mikopo, ifahamike Tanzania huwa haiwezi kukidhi bajeti yake ya kawaida, sasa limradi lote hilo la matrilion watatoa cash ya ndani kivipi, labda kama kuna sehemu wanachimba hela. Ni wazi kwamba unaweza gharamia kwa kunyofoa kitita cha hela kutoka BoT, lakini uishie kudidimiza huduma zingine maana zitaishia kuwa na mfuko mtupu.
 
Ni wachache sana wataelewa hizi dynamics za mikopo, ifahamike Tanzania huwa haiwezi kukidhi bajeti yake ya kawaida, sasa limradi lote hilo la matrilion watatoa cash ya ndani kivipi, labda kama kuna sehemu wanachimba hela. Ni wazi kwamba unaweza gharamia kwa kunyofoa kitita cha hela kutoka BoT, lakini uishie kudidimiza huduma zingine maana zitaishia kuwa na mfuko mtupu.
Keep wondering and guessing how JPM is funding SGR. Tz Treasury department is not run by fools who smoke weed like kenya
 
ni uongo sababu wewe hujui pesa inapotoka😀😀😀😀,kaa hivyo.siku ukijua vyanzo vyote vya mapato uende ukapime mimba.
Bahati nzuri mimi sio mjina najua kwa hiyo siwezi kukubali kudanganywa na watu wenye upeo mdogo sana
 
Wakenya mbona mnakua wambea
Sasa kama pesa yetu haitoshi tufanyeje
 
Kiongozi hiyo hizo picha ni za SGR DAR TO MORO sio barabara ya lami,huyo mturuki sio ya kwenu mnalaza juu ya kifusi.Hizo ndio standard za Tanzania mkubwa haaa haaa.Sisi wengine tupo dar tunaona kasi ya ujenzi subiri.Ujenzi wareli huanza na tuta kwanza hizo kutandika sio kazi siku hzi ni machine zinafanya fasta tuu.
 
Hahaha kichapo watanzania wanachowagawia chadomo huko kwenye kata ni lazima muwawewesekee wakenya unfortunately hawawezi kuwapigia kura 2020

Kwahiyo kichapo cha mbwa koko kipo pale pale
Kujifariji baada ya kuumbuka,mnajenga kwa pesa za wapi nyie mandezi wa ccm
 
Back
Top Bottom