mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
usiwe mpuuzi kiasi hiki,kwa vigezo gani unataka SGR ya kenya ifanane na hii ya tz???Watz hapa msijifanye mnajua mengi kuliko waKenya kwa ujenzi wa reli... sisi tumeshuhudia reli yetu ikijengwa hadi ilipokamilika, kwahivyo tukiwaambia reli yenu imechelewa ujenzi kidogo tunajua tunasema nini ...
Hata hivyo, sitarajii kuona reli imelazwa anytime soon huko Tz. labda tu ile temporary rail hulazwa kutoka kwa kiwanda cha kokoto au saruji hadi pale reli inajengwa... hii ni kwasababu reli ya Tz ni continuous, kwahivyo reli haiwezi ikalazwa nusu nusu, itawabidi wangojee hadi kila kitu kingine kiwe tayari kabla ya kuanza kulaza reli...
lakini hata hivyo, bado nilitarajia baada ya mwaka mmoja na miezi kadhaa, tz sgr ingekua imeliga hatua kubwa sana! especially vile mlitangaza mnajenga usiku na mchana... kama unataka kujua ni nini nilitarajia muwe mmefanya, pitia ukurasa wa kwanza wa hii mada hapa ujione Kenya sgr ilikua imefika wapi mwaka mmoja baada ya ujenzi
Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape
yetu ni ndefu zaidi.
yetu ni ya umeme.
inapitia sehemu zenye feature tofauti za kimazingira.
mkandarasi ni tofauti.