Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Sio kila mtu anawaza kuwa tajiri mkubwa. Anzia hapo kwanza. Kuna watu wanaweka malengo ya kawaida tu ya maisha na wako happy.
 
Acha uongo wewe mbona magufuli katoa ajira kibao kipindi hiki kuliko hata awamu zote ukijumlisha pamoja?
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
 
Acha uoga chikua chako mapema
 
Mkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment
Kkoo ndipo penye shida zaidi fremu zipo juu sana ndiyo maana wengi hata kukwepa kodi ili wapate faida
 
Umeongea ukweli kabisa,inatia hasira sana wafanyabiashara wa Tanzania kwenda kuchukua mzigo Kampala, mzigo ambao umepita Dar au Mombasa
 
Kama umeshawahi kujenga nyumba usingesema hivyo!
 
Kama umeshawahi kujenga nyumba usingesema hivyo!
Kipi Bora ushushe Bei ya fremu ili watu wapange au uweke Bei juu ya kupangisha ukose wapangaji fremu ikae imefungwa mwaka mzima wakilala mende na panya ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…