Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Utawarithisha wanao kazi yako ya kuajiriwa?
Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind.
Kuajiriwa Ni laana, Ni utumwa.
Mussa aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Yakobo aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Ajira sio Jambo la kujisifia Kama una ndoto za kuwa tajiri mkubwa
Sio kila mtu anawaza kuwa tajiri mkubwa. Anzia hapo kwanza. Kuna watu wanaweka malengo ya kawaida tu ya maisha na wako happy.
 
Acha uongo wewe mbona magufuli katoa ajira kibao kipindi hiki kuliko hata awamu zote ukijumlisha pamoja?
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
 
Utawarithisha wanao kazi yako ya kuajiriwa?
Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind.
Kuajiriwa Ni laana, Ni utumwa.
Mussa aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Yakobo aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Ajira sio Jambo la kujisifia Kama una ndoto za kuwa tajiri mkubwa
Acha uoga chikua chako mapema
 
Mkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment
Kkoo ndipo penye shida zaidi fremu zipo juu sana ndiyo maana wengi hata kukwepa kodi ili wapate faida
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Umeongea ukweli kabisa,inatia hasira sana wafanyabiashara wa Tanzania kwenda kuchukua mzigo Kampala, mzigo ambao umepita Dar au Mombasa
 
Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?
Kama umeshawahi kujenga nyumba usingesema hivyo!
 
Kama umeshawahi kujenga nyumba usingesema hivyo!
Kipi Bora ushushe Bei ya fremu ili watu wapange au uweke Bei juu ya kupangisha ukose wapangaji fremu ikae imefungwa mwaka mzima wakilala mende na panya ndani?
 
Back
Top Bottom