Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu anawaza kuwa tajiri mkubwa. Anzia hapo kwanza. Kuna watu wanaweka malengo ya kawaida tu ya maisha na wako happy.Utawarithisha wanao kazi yako ya kuajiriwa?
Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind.
Kuajiriwa Ni laana, Ni utumwa.
Mussa aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Yakobo aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Ajira sio Jambo la kujisifia Kama una ndoto za kuwa tajiri mkubwa
ukweli ni kwamba frem zimeshuka na kukosa wapangaji jf tu,huko kitaa zinapanda kila siku.
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
Mkuu mimi nilipata goli kariakoo kwa 300,000 mwaka jana...ukweli ni kwamba frem zimeshuka na kukosa wapangaji jf tu,huko kitaa zinapanda kila siku.
Acha uoga chikua chako mapemaUtawarithisha wanao kazi yako ya kuajiriwa?
Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind.
Kuajiriwa Ni laana, Ni utumwa.
Mussa aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Yakobo aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Ajira sio Jambo la kujisifia Kama una ndoto za kuwa tajiri mkubwa
Mkuu mbona leo unatema madini tupu?Mishahara ya wafanyakazi inategemea Kodi za wafanyabiashara ndio maana hampandishwi mishahara wala vyeo.Sekta binafsi isipofanya vizuri Kuna siku mishahara yenu itashushwa na mtapunguzwa kazini wewe kenua meno tu
Tulisema itafika siku mtaimba koras ya wimbo wetu kudadeki !!Mishahara ya wafanyakazi inategemea Kodi za wafanyabiashara ndio maana hampandishwi mishahara wala vyeo.Sekta binafsi isipofanya vizuri Kuna siku mishahara yenu itashushwa na mtapunguzwa kazini wewe kenua meno tu
Njaa haina baunsa !Mkuu mbona leo unatema madini tupu?
Nasikia kahamia kwa wale bingwa wa kuomba ombaWauaji wakuu ni wapanga sera za biashara kwa kumsikiliza mtu mmoja ambae anaishi Dar Kivukoni.
Kkoo ndipo penye shida zaidi fremu zipo juu sana ndiyo maana wengi hata kukwepa kodi ili wapate faidaMkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment
Ni kweli ndiyo maana kukawa na vijiweni ambapo vijana hushinda siku nzima kupiga mizinga kila anayekatiza hapo,Njaa haina baunsa !
😂 😂😂 mkuu umeamua kufunga mjadala?Njaa haina baunsa !
Umeongea ukweli kabisa,inatia hasira sana wafanyabiashara wa Tanzania kwenda kuchukua mzigo Kampala, mzigo ambao umepita Dar au MombasaGharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.
Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Bila shaka ameguswa, halitabaki hata jiwe juu ardhi. Wote tutaimba tutacheza style mojaMkuu mbona leo unatema madini tupu?
Kama umeshawahi kujenga nyumba usingesema hivyo!Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?