Kwa hiyo atoke kwenye ajira afungue kampuni yake aaajiri wengine?Utawarithisha wanao kazi yako ya kuajiriwa?
Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind.
Kuajiriwa Ni laana, Ni utumwa.
Mussa aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Yakobo aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Ajira sio Jambo la kujisifia Kama una ndoto za kuwa tajiri mkubwa
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.
Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Huend nyingi wanakusanya kwenye hizi ndege mpya za atcl.Hawa hawa TRA wanaosifiwa kila siku kukusanya ma Trilioni?
Wanazikusanya wapi na kwanani kama frem ziko tupu?!
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
Ha ha ha we jamaa sasa naona umechoshwa sanaMmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
Hapana nilishangaa maana nilikua najua ni bei zaidi ya hio maana bei hio niliambiwaga maeneo ya Tabata Bima ila ndo nipo napo hadi leo ingawa mzunguko sio mzuri ila tunapambanandio safi sasa,au ulisikitika badala ya kulipia.
Mzee baba naona umeguswa
Ova
Wakiambiwa wanaleta siasaHawa makada wakiguswa wanakuja kulialia huku, mtu analia bei ya fremu ujue hali ni tete kama sisi mabaharia
Na wewe umehamia Chadema? Na bado nyote mtanena kwa lugha hata ile buku 7 per day Magu amepiga mkasi.Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.
Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Awana lolote hawa wapumbavu watupu, hata Nape Nnauye wakati anapeleka bungeni muswada wa bunge live siyo kwamba alikuwa hajui, hawa kima wakukaa mezani wanakula huwa hawajali madhira ya wengine, ila sasa wakitolewa kalamuni ndio wanaanza kuhororoja tu, wacha washike adabu, wenzao maisha haya tumeyazoea tunataka Magu akamatie hapo hapo su aongeze ili hii misukule ishike adabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Awana lolote hawa wapumbavu watupu, hata Nape Nnauye wakati anapeleka bungeni muswada wa bunge live siyo kwamba alikuwa hajui, hawa kima wakukaa mezani wanakula huwa hawajali madhira ya wengine, ila sasa wakitolewa kalamuni ndio wanaanza kuhororoja tu, wacha washike adabu, wenzao maisha haya tumeyazoea tunataka Magu akamatie hapo hapo su aongeze ili hii misukule ishike adabu.
Na January hiyo watoto wanataka ada, huna wapeleke huko kwenye elimu bure kambi za kuzalishia madereva wa bodaboda na wacheza baikoko.
Fremu sio core business Ni kisaidia biashara kiingereza aid to trade.HIyo fremu ni kama huduma kwa Mtu anayetaka kufanya biashara .Sasa na wewe ukitaka kujifanya unataka ushindane na huyo anayefanya biashara kwenye fremu faida mlingane like fremu lako litakudodea.Mimi mwenyewe Nina frem 6.nimejenga kwa shida, huku nikitegemea kupata faida. Bora fremu ibaki tupu kuliko kumpa mtu kwa hasara huku yeye akitengeneza pesa ndefuuu! Sikubali
Lipa kodi mkuu acha kulialika mbona sisi wafanyakazi tunakipa juu kwa juu na tumetulia ,usiwe na akili za wahaini chadema
Serikali inalitambua vizuri sana hilo,ila iko kimya maafisa wa TRA ndio mashetani kabisa,na wanamajibu ya kujimwambafy Kwa sababu mshahara wao uko palepale
Dogo acha kulialia raisi mwenyewe kawaambia mfanye kazi au mtakuja kuolewa. Sasa wewe ccm kabisa unashindwa kuwa na connection tra mishe zako zinyooke? Au ndo wale mnasifia chama afu maisha bado magumu?
Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?
Sio kupangisha mtu Bei anayoweka sio realistic fanya utafiti hata eneo lako ukikuta mifremu Haina wateja imefungwa jaribu kuuliza Bei ya kupangisha uangalie utashangaa bei ya kupangisha ilivyo kubwa.Yaani kama wewe inaonekana jamaa hawakutaki tu eneo lao la biashara, kwanini wakupandishie wewe tu?