Awana lolote hawa wapumbavu watupu, hata Nape Nnauye wakati anapeleka bungeni muswada wa bunge live siyo kwamba alikuwa hajui, hawa kima wakukaa mezani wanakula huwa hawajali madhira ya wengine, ila sasa wakitolewa kalamuni ndio wanaanza kuhororoja tu, wacha washike adabu, wenzao maisha haya tumeyazoea tunataka Magu akamatie hapo hapo su aongeze ili hii misukule ishike adabu.
Na January hiyo watoto wanataka ada, huna wapeleke huko kwenye elimu bure kambi za kuzalishia madereva wa bodaboda na wacheza baikoko.