Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Utawarithisha wanao kazi yako ya kuajiriwa?
Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind.
Kuajiriwa Ni laana, Ni utumwa.
Mussa aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Yakobo aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Ajira sio Jambo la kujisifia Kama una ndoto za kuwa tajiri mkubwa
Kwa hiyo atoke kwenye ajira afungue kampuni yake aaajiri wengine?
 
Mkuu tumia akili kupunguza kodi sio kulialia kwa watu ambao wala hawapo kwaajili ya kukusaidia
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili

Wakati mwingine network zako zinakaa sawa.. Nadahni kuna fuse zinahtaji kuwekwa sawa utakuwa mawazo mazuri hata ukiona ile rangi kijani.. Umeongea Madini matupu na hapa kuna chain ama multiplying factor inayoathiriwa na ukubwa wa kodi, kufungwa biahara na TRA pia.. Wenye Jukumu hili ni Wizara ya Biashara n Viwanda, Wizara ya Fedha na Wizara ya Arthi ambao wanasimamai sheria na utaratibu wa mambo haya.. Kuongezea pia, Wamachinga walivyozagaishwa mitaani imeshusha sana sales kw wenye fremu, bidhaa feki zimefanya watu washindwe kuamini na kununua bidhaa na kupelekea wenye biashara kushindwa kuuza..
 
@YEHODAY naona kuna dalili ya kuchoka inaanza kukujia kwa fujo kuhusu serikali hii. hata mimi nilikuwa shabiki yake ila kwa sasa inatosha.
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
 
Ha ha ha we jamaa sasa naona umechoshwa sana
 
ndio safi sasa,au ulisikitika badala ya kulipia.
Hapana nilishangaa maana nilikua najua ni bei zaidi ya hio maana bei hio niliambiwaga maeneo ya Tabata Bima ila ndo nipo napo hadi leo ingawa mzunguko sio mzuri ila tunapambana
 
Hawa makada wakiguswa wanakuja kulialia huku, mtu analia bei ya fremu ujue hali ni tete kama sisi mabaharia
Wakiambiwa wanaleta siasa
OH tuko kwenye right truck
Ila afadhali ya yeye anasema ukweli

Ova
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Na wewe umehamia Chadema? Na bado nyote mtanena kwa lugha hata ile buku 7 per day Magu amepiga mkasi.

Mapori yapo ya kutosha mkalime sasa pumbavu kabisa.
 
Ila tukiweka siasa na ubishi pembeni YEHODAYA Ana point ya msingi hapo!

Ova
Awana lolote hawa wapumbavu watupu, hata Nape Nnauye wakati anapeleka bungeni muswada wa bunge live siyo kwamba alikuwa hajui, hawa kima wakukaa mezani wanakula huwa hawajali madhira ya wengine, ila sasa wakitolewa kalamuni ndio wanaanza kuhororoja tu, wacha washike adabu, wenzao maisha haya tumeyazoea tunataka Magu akamatie hapo hapo su aongeze ili hii misukule ishike adabu.

Na January hiyo watoto wanataka ada, huna wapeleke huko kwenye elimu bure kambi za kuzalishia madereva wa bodaboda na wacheza baikoko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wao waliona wao watapeta kmbe msumeno unakata kotekote

Ova
 
Mimi mwenyewe Nina frem 6.nimejenga kwa shida, huku nikitegemea kupata faida. Bora fremu ibaki tupu kuliko kumpa mtu kwa hasara huku yeye akitengeneza pesa ndefuuu! Sikubali
Fremu sio core business Ni kisaidia biashara kiingereza aid to trade.HIyo fremu ni kama huduma kwa Mtu anayetaka kufanya biashara .Sasa na wewe ukitaka kujifanya unataka ushindane na huyo anayefanya biashara kwenye fremu faida mlingane like fremu lako litakudodea.

Fremu na ya kumsaidia mtu anayetaka kufanya biashara Afanye hivyo gharama zake zinatakiwa kuwa rafiki kwa wafanyabiashara Hadi Wawe wanazigombea.

Kugeuza fremu zako kuwa Ni biashara kubwa Kama ndio biashara yenyewe huelewi maana ya fremu .Kaa nazo hizo fremu zako Kama ni pilau kula mwenyewe

Kazi ya fremu ni ku facilitate business zifanyike hapo Sasa Kama hiyo mifremu haifacilitate baki nayo tafuna hata kuta zake ukitaka
 
Sio kulitambua tu mkuu, hawa nadhani hata kwenye vikao vyao huongea vitu ambavyo sisi hatuwezi vijua
Serikali inalitambua vizuri sana hilo,ila iko kimya maafisa wa TRA ndio mashetani kabisa,na wanamajibu ya kujimwambafy Kwa sababu mshahara wao uko palepale
 
Duhh
Dogo acha kulialia raisi mwenyewe kawaambia mfanye kazi au mtakuja kuolewa. Sasa wewe ccm kabisa unashindwa kuwa na connection tra mishe zako zinyooke? Au ndo wale mnasifia chama afu maisha bado magumu?
 
Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?

Yaani kama wewe inaonekana jamaa hawakutaki tu eneo lao la biashara, kwanini wakupandishie wewe tu?
 
Yaani kama wewe inaonekana jamaa hawakutaki tu eneo lao la biashara, kwanini wakupandishie wewe tu?
Sio kupangisha mtu Bei anayoweka sio realistic fanya utafiti hata eneo lako ukikuta mifremu Haina wateja imefungwa jaribu kuuliza Bei ya kupangisha uangalie utashangaa bei ya kupangisha ilivyo kubwa.

Sielewi Bei wanapangaje Hawa wenye fremu biashara zingine unaangalia demand ya wateja mfano huwezi komaa tu kuuza nyanya bei kubwa halafu ukajitia hujali wanunue wasinunue shauri yao zitakuozea Bei g za fremu wengi wenye nazo hujiangalia wao status yao na gharama zao walizotumia kujenga hawaangalii wateja wa hizo fremu.Ni watu wa ajabu Sana wamiliki wengi wa fremu za biashara hawako Kibiashara wako kivyao vyao tu ndio.maana wako tayari fremu walale panya na mende kuliko kupangisha

Wenye fremu wenginno hopeless
 
Back
Top Bottom