Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili
 
Lipa kodi mkuu acha kulialika mbona sisi wafanyakazi tunakipa juu kwa juu na tumetulia ,usiwe na akili za wahaini chadema
Mishahara ya wafanyakazi inategemea Kodi za wafanyabiashara ndio maana hampandishwi mishahara wala vyeo.Sekta binafsi isipofanya vizuri Kuna siku mishahara yenu itashushwa na mtapunguzwa kazini wewe kenua meno tu
 
Hivi unajua kupangisha fremu za biashara pia ni biashara au unaongelea biashara gani..., Demand and supply you can't pick and choose either its free market au vinginevyo....
Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?
 
Kwani mkuu umekosa fremu eneo gani kwa kodi ya kiasi gani?
 
Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?
kwanini usitoke hapo uende ukakodi huko wanakolala panya..., au haujui kuwa location ina changia sana katika aina ya biashara ?, unless otherwise huko unakoenda unaenda kuuza hao panya kuna sababu kwanini watu hawapangi na panya ndio wanalala...
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipyab kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Dogo acha kulialia raisi mwenyewe kawaambia mfanye kazi au mtakuja kuolewa. Sasa wewe ccm kabisa unashindwa kuwa na connection tra mishe zako zinyooke? Au ndo wale mnasifia chama afu maisha bado magumu?
 
Dogo acha kulialia raisi mwenyewe kawaambia mfanye kazi au mtakuja kuolewa.
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
 
Mkuu kwani huingii kwenye kamati ile kubwa Sana uwasilishe?? Kama wewe unalia hivyo na mfia chama, sisi je watoto wa kambo??
 
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
Syo Kweli serikali ya awamu hii wamemwaga ajiraaa kibaooo Yaani mambo mswanoooo

Ova
 
Lipa kodi mkuu acha kulialika mbona sisi wafanyakazi tunakipa juu kwa juu na tumetulia ,usiwe na akili za wahaini chadema
Utawarithisha wanao kazi yako ya kuajiriwa?
Emancipate yourself from mental slavery, non but yourself can free your mind.
Kuajiriwa Ni laana, Ni utumwa.
Mussa aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Yakobo aliajiriwa, Mungu akamtoa kwenye ajira.
Ajira sio Jambo la kujisifia Kama una ndoto za kuwa tajiri mkubwa
 
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
Na bado tutaongea tu lugha moja
 
Back
Top Bottom