Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Thibitisha Mungu yupo.Wauaji wata enda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu ata wasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nita zingarisha kama ziwe nyeupe kama sufii
Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awa adhibu wale walio fanya mauaji ndani ya familia yao
Hapo ina kuwaje sasa
Kiranga Malaria 2
Wewe umeumbwa na nan?Thibitisha Mungu yupo.
Amesema ombeni nanyi mtapewa una jua iloMUNGU husamehe Kwa anaye mtaka, na sio Kwa Kila anayeomba msamaha.
Unauhakika Gani hao wauwaji wataomba msamaha mbele za MUNGU?? Hao ni psychopaths, mioyo yao imeshakufa ingali wapo hai.
Ni kweli, lakini Kuna watu wanaomba na hayo maombi yao hayafiki hata kwenye paa la nyumba... Unajua Hilo?Amesema ombeni nanyi mtapewa una jua ilo
Ndio kwahy Mungu muongo? Au yale sio maneno yakeNi kweli, lakini Kuna watu wanaomba na hayo maombi yao hayafiki hata kwenye paa la nyumba... Unajua Hilo?
MUNGU ni mwingi wa Hekima, kuelewa maneno yake inahitaji Hekima pia.Ndio kwahy Mungu muongo? Au yale sio maneno yake
Ni kweli lakin yeye kasema hakuna dhambi kubwa kama kumkufuru roho mtakatifu iyo ndio dhambi isiyo na msamahaMUNGU ni mwingi wa Hekima, kuelewa maneno yake inahitaji Hekima pia.
Hiyo dhambi haisamehewi broWauaji wata enda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu ata wasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nita zingarisha kama ziwe nyeupe kama sufii
Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awa adhibu wale walio fanya mauaji ndani ya familia yao
Hapo ina kuwaje sasa
Kiranga Malaria 2
Kwani Roho mtakatifu ni nani?Ni kweli lakin yeye kasema hakuna dhambi kubwa kama kumkufuru roho mtakatifu iyo ndio dhambi isiyo na msamaha
Vitabu vya Mungu vinasema dhambi isiyo samehewa ni ya kumkufuru roho mtakatifu broHiyo dhambi haisamehewi bro
Unajua adhabu iliyokuwa inawakuta wauaji enzi hizo kwa sheria ya musa?Vitabu vya Mungu vinasema dhambi isiyo samehewa ni ya kumkufuru roho mtakatifu bro
Roho ni nafsi ya tatu kutoka kwa Mungu yaani Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu maana naye roho ametoka kwa babaKwani Roho mtakatifu ni nani?
Na roho wengine kama Baba na mwana wao wanasemaje kuhusu Hilo?
Sawa ila wakiomba msamaha si wanasamehewa?Unajua adhabu iliyokuwa inawakuta wauaji enzi hizo kwa sheria ya musa?
Sasa MUNGU anaye samehe dhambi ni yupi kati ya Roho, Baba au Mwana?Roho ni nafsi ya tatu kutoka kwa Mungu yaani Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu maana naye roho ametoka kwa baba
yesu alishakufa kwaajili ya zambi zetuMUNGU husamehe Kwa anaye mtaka, na sio Kwa Kila anayeomba msamaha.
Unauhakika Gani hao wauwaji wataomba msamaha mbele za MUNGU?? Hao ni psychopaths, mioyo yao imeshakufa ingali wapo hai.
Kwahiyo Leo tupo free kufanya dhambi yoyote kwakuwa yesu alibeba zote?ye
yesu alishakufa kwaajili ya zambi zetu