Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hii ni kama kwenye criminal cases, every crime has an exception, kwahiyo sio kila utakachoomba utapewa pia!Lakini yeye Mungu ana tuambia tubuni dhambi zenu nami nitawasamehe
Hii ni kama kwenye criminal cases, every crime has an exception, kwahiyo sio kila utakachoomba utapewa pia!Lakini yeye Mungu ana tuambia tubuni dhambi zenu nami nitawasamehe
Sahihi kabisa.Msamaha haufanyi kazi hadi ulipe deni. Kanuni ya ulimwengu.
maandiko yana sema dhambi isiyo na msamaha ni kumkufuru roho mtakatifu pekeeSio kila dhambi inamsamaha.
Sheria inaeleza wazi kuwa ukiua kwa upanga nawe unatakiwa kuuawa. Hiyo ni sheria.
So kama duniani uliua na haukuuawa tafsiri yake Mungu mwenyewe atafanya kazi hiyo
Kwahiyo binadamu wa kwanza alianguka tu kwenye dunia😁Binadamu hawaumbwi.
Binadamu na viumbe wengine wote haviumbwi. Tunazaliwa.
Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hata wewe hukuumbwa na Mungu, Mama yako alikuzaa.
We are self-existing.
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
NdioKwahiyo ni collaboration ya three god's?
Sawa mkuu.Ndio
Atakama una uhitaji nachoHii ni kama kwenye criminal cases, every crime has an exception, kwahiyo sio kila utakachoomba utapewa pia!
ThibitishaMsamaha haufanyi kazi hadi ulipe deni. Kanuni ya ulimwengu.
Kabla ya uchaguzi wa Tanzania 🇹🇿, Yalifanyika maombi mengi sana makanisani, misikitini, majumbani na mashuleni kuombea taifa amani katika kipindi cha uchaguzi.Ana jibu kwa wakati
maandiko yana sema dhambi isiyo na msamaha ni kumkufuru roho mtakatifu pekee
Ulitaka ashuke aje azuie?Kabla ya uchaguzi wa Tanzania 🇹🇿, Yalifanyika maombi mengi sana makanisani, misikitini, majumbani na mashuleni kuombea taifa amani katika kipindi cha uchaguzi.
Watu walimuomba huyo Mungu amani na utulivu viwepo wakati wa uchaguzi.
Cha kushangaza siku ya uchaguzi ilipofika vurugu zimetokea, mauaji yametokea na watu wengi wamekufa..!!
Sasa huyo MUNGU unayesema anajibu kwa wakati, mbona hajajalia hiyo amani iwepo?
Huyo Mungu mbona kaacha maelfu ya raia wameuwawa?
Huyo Mungu anajibu kwa wakati gani?
Ukigonga mke wa mtu na wakwako atagongwa asipo gongwa basi atakuja kugongewa mtoto wako, mjukuu wako, kitukuu chako.Thibitisha
This ni agano jipyaMimi nazungumzia torati .
Aliyesema kumkufuru roho mtakatifu hakutoa hayo kwenye torat
"Wanatenda kazi moja" Inamaanisha kuwa wana lengo moja, nia moja, na hawapingani… Wanashirikiana kikamilifu katika kazi ya wokovu wa mwanadamu"Anafanya kazi ila wote wanatenda kazi Moja"
Hiyo kauli yako sijaelewa kabisa, inakuwaje Miungu watatu wafanye kazi Moja, alafu inakuwaje mungu mmojawapo awe wakili wetu?
Kwanza mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile. Sihitaji kuamini, nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.Wewe una amini binadamu alikuwa sokwe?
NDIOAtakama una uhitaji nacho
Ni karmaUkigonga mke wa mtu na wakwako atagongwa asipo gongwa basi atakuja kugongewa mtoto wako, mjukuu wako, kitukuu chako.
Ukiiba na wewe utaibiwa
Aliyesema agano la kale na jipya ni nani?This ni agano jipya
Ukigonga mke wa mtu na wakwako atagongwa asipo gongwa basi atakuja kugongewa mtoto wako, mjukuu wako, kitukuu chako.
Ukiiba na wewe utaibiwa
Ndiyo moja wapo ya kanuni za ulimwengu.Ni karma
Dhambi ya kuua haisamrheki mkuuWauaji wata enda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu ata wasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nita zingarisha kama ziwe nyeupe kama sufii
Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awa adhibu wale walio fanya mauaji ndani ya familia yao
Hapo ina kuwaje sasa
Kiranga Malaria 2