Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

Kwahy watoto wako una waaminisha ivyo?
Nilishakwambia mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile. Sihitaji kuamini. Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Wanangu hawahitaji imani, wanahitaji maarifa na facts zenye ukweli wenye logical consistency.
 
Yupo!!
Anaruhusu mambo yatokee!
Kama huyo Mungu yupo na yeye ni mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele, kwa nini aliruhusu maovu yawepo Duniani?

Huyo Mungu kama yeye ndio anaruhusu mambo  yote yatokee, Sasa alishindwaje kuruhusu mambo mema tu, na kudhibiti mambo mabaya?
We have free will Mungu alituumba kuweza kuchagua!
Kama huyo Mungu alitupa free will ya kuchagua kufanya chochote, Sasa kwa nini hapendi tufanye maovu kwa kutumia free will hiyo hiyo aliyotupa?

Kama huyo Mungu hapendi tufanye mabaya, Kwa nini aliweka free will ya kuweza kufanya mabaya?

Kama huyo Mungu anataka na anapenda tufanye mema tu, Sasa alishindwaje kutufanya tuwe tunatenda mema tu?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Sio mapenzi ya Mungu vurugu ziwepo na sio yeye alizianzisha!
Kama si Mungu kaanzisha vurugu, Basi binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe na Mungu huyo HAYUPO.
Vurugu na mauaji hutokana na matendo ya binadamu, Maombi hayaondoi uhiari wa watu kuchagua mema au mabaya!!

Sisi binadamu we always looking for someone to blame sijui ni kwanini! Always utatafuta tu wa kumungushia jqmbo lililokushinda..
Ndio maana nakwambia Binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe. Mema na mabaya.

Hakuna Mungu wala Shetani.
 
Mi sitaki kuamini watu wanaexist bila chanzo wakati tunaaminishwa kila kitu kina chanzo!
Kama kila kitu kitahitaji chanzo, Hata hicho chanzo cha kila kitu hakiwezi ku exist chenyewe tu bila chanzo zake.

Kama kila kitu kitahitaji chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

pasiwepo chochote kile, kilicho exist chenyewe tu, pasipo chanzo.
 
Mm tangu zamani maswala ya kumwachia Mungu sinaga ...eti namwachia Mungu no ...nooo yaaan mm tu nisamehe ama nipotezee ila anaye kuchoma mchome ..eye to eye ...yaaan lazima nikulipe tu.Mungu ana mambo nengi hata ya mm kuyasimamia nimwachie Mungu hapana .
 
Kama huyo Mungu yupo na yeye ni mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele, kwa nini aliruhusu maovu yawepo Duniani?

Huyo Mungu kama yeye ndio anaruhusu mambo  yote yatokee, Sasa alishindwaje kuruhusu mambo mema tu, na kudhibiti mambo mabaya?

Kama huyo Mungu alitupa free will ya kuchagua kufanya chochote, Sasa kwa nini hapendi tufanye maovu kwa kutumia free will hiyo hiyo aliyotupa?

Kama huyo Mungu hapendi tufanye mabaya, Kwa nini aliweka free will ya kuweza kufanya mabaya?

Kama huyo Mungu anataka na anapenda tufanye mema tu, Sasa alishindwaje kutufanya tuwe tunatenda mema tu?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?

Kama si Mungu kaanzisha vurugu, Basi binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe na Mungu huyo HAYUPO.

Ndio maana nakwambia Binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe. Mema na mabaya.

Hakuna Mungu wala Shetani.
Mungu aliumba watu and sio robots! Kuwepo na free will ni kuruhusu watu kuchagua mema na mabaya!
Kuumba watu na kutaka wafanye moja tu ni kama kuwalazimisha! Kama hatuwezi kutenda mabaya ila mema tu tungeitwa robots! Mungu hakuumba maovu soma kuhusu Adam na hawa,

Mungu hachunguziki! Kwa akili za kibinadamu huwezi ukamuelewa! Tusijihesabie sana haki na kujitweza kujiona tunaakili kuzidi kila kitu! Tujifunze kujishusha sisi bado sana, sijui kipi kinatupa kiburi! Hata katika jamiinzetu kuna mambo mabaya tu ukifanya lqizmq uadhibiwe, ata ile inner self inakuhukumu ukitaka kufanya jambo baya! Tumefundishwa upendo, amani n.k lakini bqdo tunataka kucriticise tu! Ndio kazi yetu.. hatuna jema!!

Upo uhuru wa kuchagua kile unachokiamini
 
Mm tangu zamani maswala ya kumwachia Mungu sinaga ...eti namwachia Mungu no ...nooo yaaan mm tu nisamehe ama nipotezee ila anaye kuchoma mchome ..eye to eye ...yaaan lazima nikulipe tu.Mungu ana mambo nengi hata ya mm kuyasimamia nimwachie Mungu hapana .
Duh malipo hapa hapa
 
Kama kila kitu kitahitaji chanzo, Hata hicho chanzo cha kila kitu hakiwezi ku exist chenyewe tu bila chanzo zake.

Kama kila kitu kitahitaji chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

pasiwepo chochote kile, kilicho exist chenyewe tu, pasipo chanzo.
Sawa basi kwahiyo sisi tunaishi ili iweje? Kwanini tusingeexist tu! Kuna watu wanaishi maisha mazuri wengine ata mlo mmoja shida wanalala nje nao wanaishi kufanya nn?

Whats the purpose of this life?
 
Wauaji wataenda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu atawasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nitazing'arisha kama ziwe nyeupe kama sufii

Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awaadhibu wale waliofanya mauaji ndani ya familia yao

Hapo inakuwaje sasa
Kiranga Malaria 2
Hii nayo ni swali lingine
 
Mtoto msenge sana wewe😀😀...kwamba hapo yatasikisikilizwa maombi ya nani!!!??....yani chui anasema "tupe mkate wetu wa kila siku"...huku swala anasema "tuokoe na yule mwovu".😀😀
 
Mungu aliumba watu and sio robots! Kuwepo na free will ni kuruhusu watu kuchagua mema na mabaya!
Sasa mbona huyo Mungu anataka watu watende mema tu, wakati anajua kuna free will ya kutenda mabaya?

Kwa nini sasa Mungu huyo hapendi maovu?

Kwa nini Mungu huyo hapendi kuona watu wakifanya maovu?

Kama Mungu alijua hapendi na hataki maovu yatendeke, kwa nini aliruhusu free will ya kuweza kufanya mabaya?
Kuumba watu na kutaka wafanye moja tu ni kama kuwalazimisha!
Kwa hiyo huyo Mungu alidhamiria kabisa mabaya yawepo ili yafanyike?

Huyo Mungu ana uwehu na ukichaa kabisa. Huyo Mungu hafai kabisa anastahili KUFURUSHWA huko alipo.
Kama hatuwezi kutenda mabaya ila mema tu tungeitwa robots! Mungu hakuumba maovu soma kuhusu Adam na hawa,
Kama Mungu ndiye muumbaji wa kila kitu na kila alichoumba kilikuwa chema, Sasa haya maovu yaliletwa na nani?

Kama Mungu aliumba malaika wema tu, Shetani aliwezaje kubadilika na kuwa muovu?

Kama Shetani aliweza kubadilika na kuwa muovu, Huoni uumbaji wa huyo Mungu una kasoro na mapungufu?

Huoni uumbaji wa huyo Mungu hauna ukamilifu ndio maana uovu ukaweza kuingia?
Mungu hachunguziki! Kwa akili za kibinadamu huwezi ukamuelewa!
Kama Mungu hachunguziki kwa akili za kibinadamu, Wewe ulitumia akili gani isiyo ya kibinadamu kumchunguza ukajua yupo?
Tusijihesabie sana haki na kujitweza kujiona tunaakili kuzidi kila kitu! Tujifunze kujishusha sisi bado sana, sijui kipi kinatupa kiburi! Hata katika jamiinzetu kuna mambo mabaya tu ukifanya lqizmq uadhibiwe, ata ile inner self inakuhukumu ukitaka kufanya jambo baya! Tumefundishwa upendo, amani n.k lakini bqdo tunataka kucriticise tu! Ndio kazi yetu.. hatuna jema!!

Upo uhuru wa kuchagua kile unachokiamini
Huyo Mungu akiaminiwa yupo, anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoaminiwa yupo, anapungukiwa nini?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
 
Sawa basi kwahiyo sisi tunaishi ili iweje? Kwanini tusingeexist tu!
Kwanza tunazaliwa bila kuamua.

Hatuna uhuru wa kuchagua tuzaliwe ama tusizaliwe.

Tunashtukia tu, tayari tumeshazaliwa bila kutaka kwetu.

Tunaishi kwa vile tayari tumeshazaliwa kwenye dunia inayo tutaka tuishi.


Kuna watu wanaishi maisha mazuri wengine ata mlo mmoja shida wanalala nje nao wanaishi kufanya nn?
Kuishi maisha mazuri au mabaya ni matokeo na maamuzi ya mtu mwenyewe.

Wote tunazaliwa bila kitu.

Lakini tuna tofautiana kwenye namna ya kuyakabili mazingira na kupambana na maisha.

Na hapo ndipo wengine wanakuwa na maisha mazuri na wengine maisha duni.
Whats the purpose of this life?
To live.

That's why you're living.
 
Mtoto msenge sana wewe😀😀...kwamba hapo yatasikisikilizwa maombi ya nani!!!??....yani chui anasema "tupe mkate wetu wa kila siku"...huku swala anasema "tuokoe na yule mwovu".😀😀
Nimejiuliza nimekosa majibu broo kwani nimekosea kuuliza? 😁
 
Back
Top Bottom