Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Dhambi ya kuua haisamrheki mkuu
Labda kama nawe uliuawa. Yaani muuaji kauawa
Dhambi ya kuua haisamrheki mkuu
Hakuna binadamu wa kwanza.Kwahiyo binadamu wa kwanza alianguka tu kwenye dunia😁
Asili yake ipoje?Kwanza mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile. Sihitaji kuamini, nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Binadamu hakuwahi kuwa sokwe.
Binadamu ni Binadamu.
Sokwe ni sokwe.
Huyo Mungu Hayupo, ndio maana licha ya watu kuhangaika kumuomba Amani iwepo, Hakuna kilicho tokea.Ulitaka ashuke aje azuie?
Inasamehemeka sema kuwaelewesha walioathiriwa na hii ni ngumu, ila ni gharama sana! Lazima ujikane nafsi yako kwanza umruhusu Mungu ndani yako, ni kitu ambacho wengi hawawezi kukifanya! Lakini yote kwa yote Maombi si bima ya kukwepa shida, bali ni nafasi ya kumkaribia Mungu, kuomba nguvu, hekima, na mwongozo. Wale waliotenda mabaya watahukumiwa, na wale walioteseka Mungu hajawasahau..Dhambi ya kuua haisamrheki mkuu
Sasa ukafir kivipi? Agano la kale ni la manabii wakina musa linaongelewa lakin agano jipya ni baada ya yesu kuja duniani ilo hujuiAliyesema agano la kale na jipya ni nani?
Hapo ndipo ukristo unapokuwa ukafiri
Mi sitaki kuamini watu wanaexist bila chanzo wakati tunaaminishwa kila kitu kina chanzo!Hakuna binadamu wa kwanza.
We are self-existing.
Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza Duniani kwa watu wote, Basi kusingekuwa na utofauti wa watu.
Watu wote Duniani tungefanana kwa kila kitu. Kwa sababu asili yetu ingekuwa ni moja.
Lakini sivyo, tuna tofautiana sana. Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wachina, waarabu, wafilipino, wahindi weupe, wahindi weusi, wajapan, wakorea, kuna Eskimos, Maalbino.
Kwa hiyo hakuna binadamu wa kwanza Duniani kwa watu wote.
SwaNdiyo moja wapo ya kanuni za ulimwengu.
Maandiko haya semi ivyoDhambi ya kuua haisamrheki mkuu
Unataka kusemajeHakuna binadamu wa kwanza.
We are self-existing.
Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza Duniani kwa watu wote, Basi kusingekuwa na utofauti wa watu.
Watu wote Duniani tungefanana kwa kila kitu. Kwa sababu asili yetu ingekuwa ni moja.
Lakini sivyo, tuna tofautiana sana. Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wachina, waarabu, wafilipino, wahindi weupe, wahindi weusi, wajapan, wakorea, kuna Eskimos, Maalbino.
Kwa hiyo hakuna binadamu wa kwanza Duniani kwa watu wote.
Asili yako ni wazazi wako.Asili yake ipoje?
Mm nimemuonaHuyo Mungu Hayupo, ndio maana licha ya watu kuhangaika kumuomba Amani iwepo, Hakuna kilicho tokea.
watu wameuwawa kama kuku!!
Sasa huoni kwamba hakuna Mungu?
Mungu hajawahi kuwepo na HAYUPO.
Huelewi nini?
Sasa ukafir kivipi? Agano la kale ni la manabii wakina musa linaongelewa lakin agano jipya ni baada ya yesu kuja duniani ilo hujui
Yaan kuumbwa binadamu sio mmea kwamba unaa jiotea tu popote kwa maana iyo wewe una halalisha dhambiAsili yako ni wazazi wako.
Baba na Mama yako.
Unataka asili gani nyingine?
Au nikwambie asili yako ni kende za Baba yako ndio uta elewa vizuri?
Maana kabla ya mimba kutungwa, tunakuwa tupo kwenye makende ya Baba zetu.
We are self-existing.Unataka kusemaje
Yupo!!Huyo Mungu Hayupo, ndio maana licha ya watu kuhangaika kumuomba Amani iwepo, Hakuna kilicho tokea.
watu wameuwawa kama kuku!!
Sasa huoni kwamba hakuna Mungu?
Mungu hajawahi kuwepo na HAYUPO.
Huelewi nini?
Sijasema ivyo basi kwa maana iyo dini ni kikundi cha watu kama vile simba na yangaHakuna kitu kama hicho.
Hakuna agano la kale na agano jipya.
Nenda kwa wayahudi wenye dini yao watakuambia.
Wazungu hasa waroma wao ndio waliamua kuleta hayo ya agano la kale na jipya ili kuingiza tamaduni zao ndani ya dini mpya waliyoianzisha ya kikristo.
Sheria ni zilezile hazibadiliki.au unafikiri sheria za Mungu ni kama hizi za kwetu za kudai katiba mpya?
Kwahy watoto wako una waaminisha ivyo?We are self-existing.
Hatuhitaji muumbaji.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji, Hata huyo muumbaji wa kila kitu atahitaji kuwa na muumbaji wake mwingine.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa waumbaji wengi, wasio na mwisho.
Una elewa?
Nilishakwambia na ninakwambia, Binadamu hawaumbwi. Binadamu tuna zaliana wenyewe kwa wenyewe.Yaan kuumbwa binadamu sio mmea kwamba unaa jiotea tu popote kwa maana iyo wewe una halalisha dhambi