Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #21
Na kujiumba umejiumba?Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Usipolinda uhai wako wewe mwenyewe, usitegemee kuna Mungu wa kukulinda. Utauwawa kama kuku.
Hakuna Mungu.
Na kujiumba umejiumba?Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Usipolinda uhai wako wewe mwenyewe, usitegemee kuna Mungu wa kukulinda. Utauwawa kama kuku.
Hakuna Mungu.
Kwa mujibu wa maandiko wanafanya kazi pamojaSasa MUNGU anaye samehe dhambi ni yupi kati ya Roho, Baba au Mwana?
Mungu ni Roho..Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Usipolinda uhai wako wewe mwenyewe, usitegemee kuna Mungu wa kukulinda. Utauwawa kama kuku.
Hakuna Mungu.
Kipi kina kufanya uone Mungu hayupoYani Mungu sidhani kama yupo?
Huyu Johari afanyiwe kitu analopoka sana.
Mwana anatusaidia anafanya kazi zote ni wakili wetu, ila wote wanatenda kazi moja!Sasa MUNGU anaye samehe dhambi ni yupi kati ya Roho, Baba au Mwana?
Kwlei kabisaMungu ni Roho..
Yupo na anaishi
Na sio kila unaliliona kwako linafaa ndio kwake litafaa pia eti umuombe akujibu utakavyo!
Hekima zitumike katika hili! Wewe hujamuona kwenye maisha yako kwa sababu hujataka! Ila kwa wanaomwamini wamemuona kwa njia tofauti tofauti!
Mungu yupo! Amini unachokiamini!
Wauaji wata enda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu ata wasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nita zingarisha kama ziwe nyeupe kama sufii
Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awa adhibu wale walio fanya mauaji ndani ya familia yao
Hapo ina kuwaje sasa
Kiranga Malaria 2
Lakini yeye Mungu ana tuambia tubuni dhambi zenu nami nitawasameheMsamaha unahusu fidia.
Hilo unapaswa kulifahamu kwanza.
Uovu wowote usioweza kulipa fidia huwezi kuomba msamaha
Usitoke pia uliza maswali hapaaNaendelea kujifunza
Wimbo wa taifa la Tanzania umekuwa ukimtaja sana huyo Mungu kumuomba abariki nchi, bara la Afrika na viongozi wake.Amesema ombeni nanyi mtapewa una jua ilo
Wokovu ni gharama sana!Yani Mungu sidhani kama yupo?
Huyu Johari afanyiwe kitu analopoka sana.
Kwahiyo hayo machafuko yalotokea hizi siku ngapi tayari umethibisha hayupo !Wimbo wa taifa la Tanzania umekuwa ukimtaja sana huyo Mungu kumuomba abariki nchi, bara la Afrika na viongozi wake.
Waafrika kila kukicha wanakesha makanisani na misikitini kumuomba huyo Mungu wapate Amani, haki na usawa kwenye nchi zetu lakini holaaa!!
Afrika imezidi machafuko, vita, mauaji, vurugu na ghasia za kila aina.
Viongozi wa Afrika ndio hawa wachumiaa tumbo, mafisadi na madikteta.
Sasa huyo Mungu anayesema ombeni nanyi mtapewa, Mbona hajawahi kutoa chochote kwa Waafrika wanao muomba na kumlilia kila kukicha?
Waafrika wanazidi kuteseka na kuuwawa kama kuku, licha ya kumuomba sana huyo Mungu.
Sasa huyo Mungu anayesema ombeni nanyi mtapewa, wakati Waafrika wanauwawa kama kuku, anakuwa kalala usingizi wa pono? Hasikii na wala hajibu ombi lolote..!!
Huyo Mungu kama yupo basi anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana hana msaada wowote na HAFAI kabisa.
Binadamu hawaumbwi.Na kujiumba umejiumba?
"Anafanya kazi ila wote wanatenda kazi Moja"Mwana anatusaidia anafanya kazi zote ni wakili wetu, ila wote wanatenda kazi moja!
Ana jibu kwa wakatiWimbo wa taifa la Tanzania umekuwa ukimtaja sana huyo Mungu kumuomba abariki nchi, bara la Afrika na viongozi wake.
Waafrika kila kukicha wanakesha makanisani na misikitini kumuomba huyo Mungu wapate Amani, haki na usawa kwenye nchi zetu lakini holaaa!!
Afrika imezidi machafuko, vita, mauaji, vurugu na ghasia za kila aina.
Viongozi wa Afrika ndio hawa wachumiaa tumbo, mafisadi na madikteta.
Sasa huyo Mungu anayesema ombeni nanyi mtapewa, Mbona hajawahi kutoa chochote kwa Waafrika wanao muomba na kumlilia kila kukicha?
Waafrika wanazidi kuteseka na kuuwawa kama kuku, licha ya kumuomba sana huyo Mungu.
Sasa huyo Mungu anayesema ombeni nanyi mtapewa, wakati Waafrika wanauwawa kama kuku, anakuwa kalala usingizi wa pono? Hasikii na wala hajibu ombi lolote..!!
Huyo Mungu kama yupo basi anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana hana msaada wowote na HAFAI kabisa.
Lakini yeye Mungu ana tuambia tubuni dhambi zenu nami nitawasamehe
Wewe una amini binadamu alikuwa sokwe?Binadamu hawaumbwi.
Binadamu na viumbe wengine wote haviumbwi. Tunazaliwa.
Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.
We are self-existing.
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Kwahiyo ni collaboration ya three god's?Kwa mujibu wa maandiko wanafanya kazi pamoja