Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Sauti ya manka ishakufa sasa ana higer ndio zaenda huko
 
Mjomba unajua hio engine ya cummins watu wanaichukulia poa sana ila huyo ni mmarekani halisi hizo engine zipo kwenye magenerator makubwa i.e FGwilson, hata engine za meli zingine ni Cummins Service Kit zake ime Major Service Kit zinafika USD 15,000
upo sahihi. hata boat ya bakheresa kilimanjaro seven inatumia engine ya cummins.

bus aina ya higer, zinatumia engine ya cummins.
 
Keshakua maarufu wanataka.kumuona tuView attachment 1860703

Naona wachina watampa nyota
Nakumbuka mwaka 2016 nilikuwa naenda songea nimepanda newforce kuna davoo mmoja white mrefu na mmoja mweusi anatatoo mkono wa kulia unachata ya nanga au scorpion chombo ilikuwa ile siku sisahau chombo ilipigwa mguu
 
Naona wachina watampa nyota
Nakumbuka mwaka 2016 nilikuwa naenda songea nimepanda newforce kuna davoo mmoja white mrefu na mmoja mweusi anatatoo mkono wa kulia unachata ya nanga au scorpion chombo ilikuwa ile siku sisahau chombo ilipigwa mguu
Hao ndio madereva sasa
 
Katoka leo anaenda Tunduma apo 11:21 out kashatoka aljazeera toka Dar bado anayaswaga mabehewa ya Sauli


Acha kbsa L360 Cummins [emoji119][emoji119] hii 95 F310 (Sauli) hawezi kufata huu moto

Siku ya 6 hii leo wanavutwa tokea Dar to uyole mbeya [emoji28][emoji28]

Asa Mkuu kuna ile ya ostadhi Rama 711[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…