Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Katika zote hii nimeielewa
FB_IMG_16264506049092155.jpg
 
Shughuli ya DMG siku ikikaa barabarani,Sauli anaijua vizuri hii mashine ya Tunduma.
Ndio maana waliitia chumvi kuua engine hii gari,mchina akafunga kibuyu kipya.
Mkeka wa leo huoView attachment 1856392

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Bado [emoji1662][emoji1662][emoji1662] anawakalisha [emoji1631][emoji1631][emoji1631]
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Huwezi amini,kuna watu wa kila aina,wapo askari,walimu,madokta,bodaboda uliowasema na kila aina ya watu wenye kupenda mabasi.
Yupo mmoja alikuwa anafanya kazi Hospitali pale Iringa mjini,ikifika mida ya mabasi anaenda Ipogolo kupiga picha na kwasasa alipewa tender ya kuitangaza basi mpya ya Kureed/Hunters ya Dar_Mwanza,alilipwa mkwanja mrefu sana kuliko hata hela ambayo angeweza kuikopa kwa kazi yake

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ngome boy au
 
Back
Top Bottom