3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Actually kaanzia shekilango.miaka nenda rudi ndio garage zake zilipo na alikuwa anakunywa mafuta ENGINE FILLING STATION kabla hajahamia sheli ya pale shekilango
@y-n bishana na uyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually kaanzia shekilango.miaka nenda rudi ndio garage zake zilipo na alikuwa anakunywa mafuta ENGINE FILLING STATION kabla hajahamia sheli ya pale shekilango
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unatafuta sababu so unataka [emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662] ashuke tuuu
Kwani ni mabishano mkuu,kila mmoja anajaribu kuelezea kile ambacho kwa kiwango chake anakifahamu@y-n bishana na uyu
Nilale wapi, napoteza muda huku, sina usngizi.Hujalala mamaa
Hapa sio uwanda wa makambako kuifuata mufindi?Hapa kama gari yako haijawahi kumaliza 180km/hr basi haifiki tena popote duniani.View attachment 1853968
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kesho Niko njiani natoka Dar naingia Kabwe..!!!Uliza mkuu acha ushabiki wa kuambiwa watu wasingekuwa WANABET maana kila siku wangeshinda SAULI TU.
Huyo jamaa ni balaa
Sauli scania Ina piston 5 na valve 20 engine scania .Deer engine ni cummin piston 6 valve 24.Deer nyepesi scania nzito.
Hii kitu ni hatari sana kama kweli huyo jamaa anashindana na Scania huku akiendesha mchina ipo siku atakata watu hamsini kama masihara na wabongo wanavyopenda sifa akiona hizi memes atavimba kichwa aongeze makeke zaidi.Lakini udereva pia unachangie mkuu
Wala sijazungumiza madereva kwa kiwango kikubwa hapo mkuu.Anachopignia jamaa hii meme ingekuwa davoo wa sauli na sio wa golden deer yuko kishabiki sana
Yaaahp uko sawa kiujumla wake.Hapa sio uwanda wa makambako kuifuata mufindi?
Msalimie Sharifu Makoba ayseeeKesho Niko njiani natoka Dar naingia Kabwe..!!!
Mi ni SAULI tuu...
#NITAKUPA TAARIFA.
#YNWA
Vidhibiti vimezisaidia sana bodaboda nje ya hapo zisingewezaHahhahaha boda boda kuikimbiz Youtong ilikuwa mziki mnene
HahhahhahahVidhibiti vimezisaidia sana bodaboda nje ya hapo zisingeweza
We msukuma? Mbn na nyie mnashabikia au wewe unakaa chato ndani ndani[emoji1787]mkuu hizi topic hazikufai naona unaboreka!Hiyo route mna ushamba sana,yani mpaka leo bado mko na huu upuuzi wa kushabikia gari gani inayokimbia sana?pathetic
Sauli anafika Tunduma?Mkeka wa leo jion nani anafungua geti la Tunduma Kati ya Deer cummins mchina na Sauli scania gemilang euro 3.
Ujanja wa Deer ni milimani.
View attachment 1852455
View attachment 1852458
View attachment 1852459
Tupe mkeka kuanzia Aljazeera..kwamba Saul au Deer nani ametanguliaKesho Niko njiani natoka Dar naingia Kabwe..!!!
Mi ni SAULI tuu...
#NITAKUPA TAARIFA.
#YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wanaoishi Mbezi ya kimara wengi watamfahamu mwamba ..anaishi malamba mawili pia ana wake sita pamoja masuria kumi na mawili
InafikaSauli anafika Tunduma?
Nshamalizana nae@y-n bishana na uyu
Service au management mbovu, maana anatumia body za kuchonga na basi za kichina kafunga injini za Scania. Wenzake wakina Kilimanjaro wanadunda na namba A kwa kuzitunza na kufanya service nzuri.Kisbo,kwa safari ya Mbeya alikuwa na gari moja tu hiyo Bombastic,iende,irudi,leo akimfukuza DFR ya Jaja,kesho anafukuza DJQ ya Linyama.
Ikawa ni mwendo wa ligi tu kumbuka wenzie wanapumzika yeye iende irudi,pumzi ikakata..!
Gari ikarudishwa Dar_Tabora T 101 DAA
MWANZA-MBEYA hapeleki gari.
Na kwa siku za hivi karibuni Kisbo anaanza kupotea taratibu mno kwenye ramani maana gari zake asilimia kubwa ni mbovu mbovu,kwasasa ana kama mbili tu,DCJ (Covid 19_Zamani iliandikwa Kangi Lugola na ile mpya ya Kahama DST ya Babu,rangi kama ya Happy Nation)
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app