mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Hahahaha mabehewa ya sauli..[emoji38][emoji38][emoji38]Katoka leo anaenda Tunduma apo 11:21 out kashatoka aljazeera toka Dar bado anayaswaga mabehewa ya Sauli
Acha kbsa L360 Cummins [emoji119][emoji119] hii 95 F310 (Sauli) hawezi kufata huu moto
Siku ya 6 hii leo wanavutwa tokea Dar to uyole mbeya [emoji28][emoji28]
Asa Mkuu kuna ile ya ostadhi Rama 711[emoji119]