Wauguzi wanafanya kazi kubwa sana

Wauguzi wanafanya kazi kubwa sana

secretagent

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
204
Reaction score
317
Kazi ya uuguzi ni ngumu sana

Wauguzi waongezewe mshahara

Nawasilisha
 
Nurses are Suma jkt.....wanamgambo ...walinzi....na wabeba lawa zote za hospital...pia hawapendan, hawana umoja (degree level four years plus one yr for internship but TGHS n C instead of D Tangu 1989 kuanzishwa kwa degree level)

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ila watu wengi hawaelewi kuna nurse ina hatari kubwa ya kupata maambukizi dah manurse mungu awatie nguvu
 
Kweli kazi ya uNesi inahitaji Moyo. Wanafanya kazi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom