Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

Hivi huyu si ndo yule aliyesema kuwa "Ana pesa nyingi kuliko serikali halafu tra wakaanza kumfuatil", leo wanampa zawadi ya nyumba,anyway ngoja na Mimi nianzishe kanisa..
Hakuna usanii kwa kuwa kila kitu kiko wazi kwa waumini wake
 
Hakuna usanii kwa Askofu Kakobe ! Kanisa limewakatia Bima ya NHIF washirika wake.
https://www.facebook.com/
 

Attachments

  • FB_IMG_1606485391420.jpg
    34.5 KB · Views: 17
Hivi ndivyo inavyopaswa kitendewa mtu anayempenda Mungu na KUMTII
 
Naijua historia yake kiundani haswaa.

Umeongea ukweli mkuu. Ana mengi tunayopaswa kujifunza kutoka kwake
 
Waumini kwa hiari yao baada ya kutafakari nyumba aliyojenga miaka mingi kabla kuanza utumishi wake; haina hadhi ndipo wakapata wazo la kutoa changizo ya kumjengea jumba lenye hadhi ya kimataifa kwa utukufu wa Mungu anayemtumikia askofu Kakobe.
 
Kakobe ni kiongozi niliyekuwa namheshimu sana sana. Hata alipoanza kuisapoti serikali ya Magufuli na kutoa maono potofu nilimsamehe kwani kwa miaka mingi sana amepigania haki ya watanzania wasiojitambua hasa wakati wa uchaguzi mpaka pale Magufuli alipomfanyia uhuni na watanzania wakakaa kimya. Ila siku alipojitokeza kumtetea kwa nguvu zote tena kwa kutumia vifungu vya biblia kumtetea porn star Gwajima aliyekuwa anafanya uasherati huku anajirikodi yeye mwenyewe ndipo siku niliyomdharau na kumwona wa hovyo kabisa.
 
Afadhali ya Kakobe mkuu. Kuna mmoja anaitwa Gamanywa! Nilikuwa nafuatilia sana mafundisho yake kupitia WAPO FM, sasa hivi sitaki hata kusikiliza redio yenyewe achilia mbali mafundisho yake yaliyojaa UNAFIKI
Hii awamu pamja na mabaya yake lakini imekuja kutufungulia ni viongozi gani wa dini matapeli na hawana msimamo.
 
Blah blah blah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku atawafungia mle kwenye lile banda lake halafu awalishe moto wa petrol
Nimewahi kusali pale wakati niko chuo.

Mazee uhuru wa fikra ni kila kitu, wamarekani wanaheshimu sana suala hili na wala siyo wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…