medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,400
- 1,424
Ngoja nikufundishe kuuliza maswali bila kuongeza maneno yakoNi vizuri nijue uelewa wako maana umesha mpinga binadamu yake muhammad na kumuita muongo,
Ayo masanamu Allah alitengeneza akayaweka wapi?
Kwa nini hamsomi na uwezo wenu wa kumbukumbu ni mdogo Sana ?Naomba ushahidi wa hili ?!
OK, Sawa.Nazungumzia kitu halisi na wala sina haja wala nia ya ubishi... Nazungumzia maneno yanayotamkwa kila kukicha na wakatoliki kwamba "Mtakatifu fulani UTUOMBEE" . Sina haja ya kufuatilia hoja za CATHOLIC ANSWERS waniambia nini maana ya neno UTUOMBEE kwasababu hakuna neno linaloweza kutumika mbadala ya lingine halafu halina maana ile iliyokusudiwa....
Weka marejeo sahihi, aya ya 13 haisemi hivi katika sura ya 64.Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru
Embu jibuNgoja nikufundishe kuuliza maswali bila kuongeza maneno yako
Wagalatia 3:13 BHN
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Mtu anaweza kuuliza kwa nini yule mzungu wa kwenye movie amelaaniwa? Unajibu hili sisi tusamehewe dhambi. Sijatunga uongo wala kubadilisha kwamba Brian Deacon alilaaniwa kama isemavyo biblia. Ninasubiri ya masanamu kujengwa msikitini
Roman Katoliki siyo kanisa mkuu na wote tunalijua hilo.Roman Katoliki ni Kanisa lililojengwa Juu ya Mwamba(Petro)
Umeshajua ni sura 34 acha kupoteza mdaWeka marejeo sahihi, aya ya 13 haisemi hivi katika sura ya 64.
Swali la msingi hayo masanamu yalikuwa masanamu gani na yaliwekwa wapi na je yaliabudiwa kama mnavyofanya nyinyi ? Hapa ndipo unapotakiwa uweke ushahidi.Kwa nini hamsomi na uwezo wenu wa kumbukumbu ni mdogo Sana ?
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at...
Utaelewa tu. Ukitaka maandiko utakula knockout. Ukipotosha utapingwa.Biblia sio kitabu Cha Allah
Allah kasema wazi kwenye kitabu chake kawatuma mapepo kutengeneza masanamu
Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru
Kwa nini Allah katengeneza masanamu na kuyaweka msikitini?
Jibu kwanza kwa nini Allah aliweka masanamu msikitini , na lini alisema yasiwekwe na kwa nini?Swali la msingi hayo masanamu yalikuwa masanamu gani na yaliwekwa wapi na je yaliabudiwa kama mnavyofanya nyinyi ? Hapa ndipo unapotakiwa uweke ushahidi.
John 3:14Unachanganya mambo mengi mno Kwa wakati mmoja.
Haupo consistent.
Mfanano wa kuinuliwa nyoka wa Shaba na Kuinuliwa Kwa Yesu haupo kwenye muktadha wa Ibada.
Ibada zilikuwa zinafanyika hekaluni ambapo palikuwa na masanamu.
Huko ndipo wanyama walichinjwa na damu iliyomwagika ilikuwa ni Kwa ajili ya ondoleo la dhambi.
Damu ya Yesu kumwagika nalo ndio ondoleo la dhambi kwetu.
Point kubwa ni kwamba Mungu hakuwahi kuwaambia waziabudu Sanamu.
Huu ni uongo wa wazi unaotakiwa ukamfafanulie mchungaji wako.
Sanamu zilikuwepo,zipo na zitaendelea kuwepo maana hazijawahi kufananishwa na Mungu.
Unatakiwa uwe makini. Usipotezee watu muda.Umeshajua ni sura 34 acha kupoteza mda
Hakuna sehemu Mwenyezi Mungu alitengeneza masanamu wala kutuma majini wajenge masanamu. Mwenyezi Mungu alimpa Suleiman kuweza kuwatumikisha majini. Acha bangi we kijana. Divai ya jana imekulevya? Rekebisha tena swali. Huku na mimi swali langu ulijibu.Embu jibu
Allah alitengeneza masanamu na alituma majini yamtengeneze sulaiman kwa nini? Jibu
Swali langu liko pale pale, tupe ushahidi unao onyesha masanamu yaliwekwa misikitini.Jibu kwanza kwa nini Allah aliweka masanamu msikitini , na lini alisema yasiwekwe na kwa nini?
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at...
" Unjilishaji NDIO, Ushawishi HAPANA" Pope FrancisWakatoliki wenzangu, binafsi nimefanya sana midahalo na hawa wenzetu muda mrefu. Ni bora ufanye mjadala na Muislam kuliko hawa wenzetu! Maana mnaweza kujadiliana pale kwenye msingi wa tofauti.
Hawa utakesha bure! Wabishi wote hata humu mambo mengi wamesimuliwa wakaamini sababu kuna mistari ya biblia walipewa! HAKUNA aliyefanya utafiti binafsi na hata wakija kwenye mijadala hawaji kutafuta ukweli zaidi kubishania kile walichoaminishwa.
Ushauri wangu: Ukiona mtu anatija ya kujadiliana nae na anatafuta kweli jadiliana nae kwa heshima. Otherwise msijisumbue kuwaelewesha! Vibwagizo vya comments zao ni rahisi sana na hoja ni zile zile. Achaneni nao mtapoteza muda!
Hata sasa moja ya sababu hamuoni Kanisa Katoliki linanyanganyana waamini ni msingi wa uinjilishaji wake. Mwenye nia ya kutafuta kweli atahubiriwa kweli, lakini si kushawishi! Hivyo mjadala wenye tija ambao pia una sifa za uinjilishaji ni kwa wale wenye nia ya kutafuta kweli. Otherwise msipoteze muda kubishana na wabishi wa dini.
Ukitaka kujua sehemu ulipo ni feki,Roman Katoliki siyo kanisa mkuu na wote tunalijua hilo.
Ni dubwasha linalojifisha ndani ya kondoo wakati lenyewe siyo kondoo!
Wewe ungekuwa nchi za kiislam wangesha kuchinjaHakuna sehemu Mwenyezi Mungu alitengeneza masanamu wala kutuma majini wajenge masanamu. Mwenyezi Mungu alimpa Suleiman kuweza kuwatumikisha majini. Acha bangi we kijana. Divai ya jana imekulevya? Rekebisha tena swali. Huku na mimi swali langu ulijibu.
View attachment 2150145
Kazi kweli kweli.John 3:14
[14]And as Moses lifted up the serpent in the wilderness, even so must the Son of man be lifted up:
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa;
Kumtazama nyoka wa shaba ilikua ni ibada ya uponyaji ndugu yangu
Ukimwinua Yesu ushamuabudu tayari hata uponyaji unaweza upata same na ukimuinua nyoka wa shaba hiyo ilikua ni ibada tayari na jamaa walipona. Kama unadhani haikua ibada mwambie Muislamu amuinue Yesu uone kama atakubali, aseme Yeeesuu nakuinua juuu ya vyootee.
Ibada siyo lazima uende hekaluni. Kwani mnavyosali jumuiya mtaani siyo ibada , kwa hiyo nyumba zenu ni mahekalu
Synagogues ni nini?Swali langu liko pale pale, tupe ushahidi unao onyesha masanamu yaliwekwa misikitini.
Kingine Hii Tafsiri ya Ibn Abbas siyo kwamba aliandika swahaba Ibn Abbas, tutaijadili siku nyingine.