medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,400
- 1,424
Ngoja nikufundishe kuuliza maswali bila kuongeza maneno yakoNi vizuri nijue uelewa wako maana umesha mpinga binadamu yake muhammad na kumuita muongo,
Ayo masanamu Allah alitengeneza akayaweka wapi?
Wagalatia 3:13 BHN
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”Mtu anaweza kuuliza kwa nini yule mzungu wa kwenye movie amelaaniwa? Unajibu hili sisi tusamehewe dhambi. Sijatunga uongo wala kubadilisha kwamba Brian Deacon alilaaniwa kama isemavyo biblia. Ninasubiri ya masanamu kujengwa msikitini