Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana


Ungewaondoa wa islam ukawata hao wakristo wenzio tu
 
Umejua vipi kama pale mtini hapakua sehemu rasmi ya ibada.
 
Mi huwa siendi kwa kubishana. Naenda kwa fact. Hiyo walitumwa sijui umetoa kwenye biblia. Maana biblia kuna story za kusisimua kama hizi. Hiyo niliyoweka bold ifiche Kwanza. Inaonesha uongo wako.

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema:Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.
 
Umejua vipi kama pale mtini hapakua sehemu rasmi ya ibada.
ACHA kushupaza shingo.
Vile ni vipimo vya Imani TU.
Vipo vingi kwenye Biblia.
Unaambia Fanya hivi utakuwa hivi.
Ile sio ibada.
Hata Nabii Elisha alimwambia Naamani akaoge Yordani apate kupona.
Huwezi kusema eti kuoga Yordani ilikuwa ni ibada ya Sanamu.
 
2 Wafalme 5:10 :
Elisha akamtuma mtumishi wake amwambie, “Nenda ukaoge mara saba mtoni Yordani, nawe utapona kabisa.”
 
Acha kuruka ruka jibu
Kwa nini Allah alitengeneza masanamu

Koran 64:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru
 
Ukitaka kujua sehemu ulipo ni feki,
Huna ujasiri wa kutamka hadharani dhehebu lako.
Sina dhehebu mkuu. Nimeruhusu ufahamu wangu uwe huru. Wacha nidanganywe kwenye vitu vingine, Ila sio kwa hawa jamaa.
Hawa hawa waliotuambia kuoa wake zaidi ya wawili ni dhambi, lakini leo wanatulazimisha tena kukubali kuwa ushoga ni fresh tu. Huku wakiendelea kushikilia msimamo kuwa kuuloa wake zaidi ya wawili ni dhambi.
 

We unaamini kuna kanisa linaweza kufufua mtu[emoji52][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16] au kipofu kuona?! Si wakatoliki sio walokole hamna anaeweza hilo please acheni uwo ujinga
 

We ukifa pia wataweza kukufufua[emoji3][emoji1787][emoji1787]?! Dunia ina wajinga wengi sana
 
Wewe ungekuwa nchi za kiislam wangesha kuchinja

Unampinga mpaka Allah , Alie watuma majini ni nani?

Koran 64:1

Ushaanza kuchanganyikiwa hadi namba za aya unazichanganya. Chukua jibu kwenye biblia. Ninaenda sawa. Kuna kafiri alikuwa chizi kuliko wewe na ameelewa

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
Wagalatia 3:13
Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Jambo hili lilifanyika kusudi ile baraka aliyopewa Abrahamu iwashukie watu wa mataifa mengine kwa njia ya Kristo, na ili kwa imani, tumpokee yule Roho ambaye Mungu alituahidia.
 
Synagogues ni nini?

Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at...


Ni vyema mjini maswali na sio kuanza kuangalia jinsi gani mtapotosha
Huyu kafiri kidogo hayuko sawa. Kuna aya ya biblia ameshindwa kufafanua zaidi ya mwezi sasa hata kwa uongo wao wa kanisani. Hapa amebaki kulazimisha tafsiri zake.
Mokiti
 
Hakuna lililobadilishwa ila wewe ma mchungaji wako ndio mmebadilisha
Mtawa Peter Damiani kwenye karne ya 11 alibadili kusali "Baba yetu uliye mbinguni" 150 kwa siku akaamuru zisaliwe "salamu Maria" 150 kwa siku. Na hapo ndo likawa chimbuko la kusali rozali kanisani kumuomba eti Maria atuombee wakati hiyo siyo kazi yake.

Mbona mengi tuu yamebadilishwa mkuu na hayakuwepo kwenye kanisa la kwanza la mitume.
 

Kaka hujanijibu bado swali langu
Misingi ya ubatizo wa kunyunyiza kama inavyofanywa na kanisa katoliki Ilianza lini?
Kwa nini iwe tofauti na alivyofanya Bwana wetu Yesu Kristo
 
Huna hoja wewe ndiyo maana unakimbia na kuacha maneno ya kutafuta huruma. Hakuna wa kukuonea huruma hapa kama hutaki kuipokea kweli. Na ndivyo hua mlivyo kama mwanzisha uzi alivyosema, sababu ni kwamba hamna hoja ndo maana mnakimbia.
 
Nashukuru Kwa ushauri wako.
Binafsi nimeshajutoa kwenye huu mjadala usio na tija.
 
Kwa hiyo jamaa hapa kwenye picha anaabudu msalaba au anamuabudu Mungu au anaabudu vyote kwa mpigo.
Nauliza kwa wema tuu mkuu, samahani saaana kama takua nimekukosea.
 
Inamaana hujakariri kama kasuku Koran , mapan kisai ndo kaja kukujulisha , maana haijabadilika

Jibu swali kwa nini Allah alitengeneza masanamu?
 
Huyu kafiri kidogo hayuko sawa. Kuna aya ya biblia ameshindwa kufafanua zaidi ya mwezi sasa hata kwa uongo wao wa kanisani. Hapa amebaki kulazimisha tafsiri zake.
Mokiti
Ni vyema ujibu swali ndio turudi kwenye maswali Yako , Mimi nimekuuliza toka juzi

Kwa nini unabusu jiwe?
Kwa nini Allah alitengeneza masanamu?

Jibu alafu uliza swali, kama hujui sema sijui tuendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…