Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Wejamaa yaan mwanaume mwenzio aanze kusoma maandishi yote ayo.... huna huruma wewe
 
Nilisha hama hilo dhehebu aisee hawana inshu mafundisho na sala zao ni kukaririshwa tu yaani upokee tu na ukubali linalosemwa mengine ni siri yangu.
Huna lolote unalolijua hapa unatumia fake ID sema una siri gani kuhusu Catholics ambayo inakufanya ufe nayo moyoni!
 
Synagogues ni nini?

Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at...


Ni vyema mjini maswali na sio kuanza kuangalia jinsi gani mtapotosha
Hujajibu maswali niliyo kuuliza. Kingine ukisoma aya hakuna tamko wala ishara ya "Synagogues" sasa tutakuuliza hizi habari umezipata wapi.

Kingine cha ziada hiyo inayoitwa "Tafsir Ibn Abbas" haijaandikwa na swahaba Ibn Abbas bali imekusanywa na msomi mmoja aitwae Abuu Tahi Muhammad bin Yaqoub al Fayrouz al Abbad, akaiita "Tanwir al Miqbas min Tafsir Ibn Abbas". Hii Tafsiri si katika Tafsiri za kutegemewe katika Uislamu sababu ina makosa mengi na mambo ya uzushi mengi na miongoni mwa sababu ya kukataliwa Tafsir hii ni chain yake mpaka kufikia kwa Swahaba Abdullah Ibn Abbas haiko sawa bali wengine wanaipinga kabisa.

Nimekuomba utuonyeshe hayo Masanamu katika Msikiti alio kuwa anasali nabii Suleyman, sababu tunaujua.

Kingine ututhibitishie ya kuwa hayo masanamu yalikuwa yanaabudiwa.

Sinagogi ni hekalu. Hoja yako ikowapi ?

Unapo shindwa hoja unakuja na kichaka cha kupotosha. Hakuna kupotosha.
 
Huyu kafiri kidogo hayuko sawa. Kuna aya ya biblia ameshindwa kufafanua zaidi ya mwezi sasa hata kwa uongo wao wa kanisani. Hapa amebaki kulazimisha tafsiri zake.
Mokiti
Hii ndiyo kawaida yake huwa anatafsiri anavyo taka yeye, mwisho wa siku anatokomea kisha anarudi na kitu kile kile. Huyu hana hoja yaani ni dhaifu sana.
 
Halafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu. Mmakonde, Mmachinga, Mmsai, Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.
Kwanini??
 
Acha mawazo mgando!😅
 
Ni vyema ujibu swali ndio turudi kwenye maswali Yako , Mimi nimekuuliza toka juzi

Kwa nini unabusu jiwe?
Kwa nini Allah alitengeneza masanamu?

Jibu alafu uliza swali, kama hujui sema sijui tuendelee
Hakuna cha kuendelea hapa we mfuasi wa Brian Deacon. Hii aya hadi utolee ufafanuzi. Hakuna hata kafiri mmoja aliyejibu au kutoa ufafanuzi. Hiyo nadhani nimeshakujibu Allah ajatengeneza masanamu. Nimeshajibu kwa mara nyingine. Nipe ufafanuzi kuhusu hii verse usikwepe.

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Wewe pia umempinga Ibn abas ambae ni Kati ya tafsir zonazoaminika kuliko tafsir yeyote duniani, hii kwa Sunni ndio number moja ndio uje zingine
Ila jibu swali kwa nini Allah alitengeneza masanamu na kuyaweka msikitini

.Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at...
 
Hii ndiyo kawaida yake huwa anatafsiri anavyo taka yeye, mwisho wa siku anatokomea kisha anarudi na kitu kile kile. Huyu hana hoja yaani ni dhaifu sana.
Kuna aya nimempa hadi leo na wenzake atafsiri anavyoweza lakini ameshindwa hadi leo. Ndiyo maana hapa anaruka sarakasi.


1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Alie tengeneza masanamu nani? Na nana Anaya control majini ? Na nani alituma kwa sulieman?

Jibu

Kwa nini unabusu jiwe?
Kwa nini Allah alitengeneza masanamu?
 
Ni vyema ujibu swali ndio turudi kwenye maswali Yako , Mimi nimekuuliza toka juzi

Kwa nini unabusu jiwe?
Kwa nini Allah alitengeneza masanamu?

Jibu alafu uliza swali, kama hujui sema sijui tuendelee
Hiyo nimekanusha kwa mara nyingine. Ulete aya kwa kubold nakupa challenge. Unioneshe wapi Allah katengeneza masanamu. Mi nakujibu hakuna.
Nifafanulie hii aya utakavyo wewe. Nimekupa uwanja mpana. Swali nimekuuliza umeshindwa kujibu
1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Hii ndiyo kawaida yake huwa anatafsiri anavyo taka yeye, mwisho wa siku anatokomea kisha anarudi na kitu kile kile. Huyu hana hoja yaani ni dhaifu sana.
Embu jibu kwa nini unabusu jiwe na kwa nini Allah alituma majini yamtengeneze masanamu Suleiman?
Acheni basi longo longo jibuni
 
" Unjilishaji NDIO, Ushawishi HAPANA" Pope Francis

[emoji120]
Yes, ushawishi ni kazi ya wafanyabiashara, ushawishi huleta mengi ikiwemo uongo! If we evangalise and use marketing strategies like we are selling products or service then its against the Gospel and work of God.
 
Alie tengeneza masanamu nani? Na nana Anaya control majini ? Na nani alituma kwa sulieman?

Jibu

Kwa nini unabusu jiwe?
Kwa nini Allah alitengeneza masanamu?
Nimeshakujibu alipewa uwezo wa kuyadhibiti anavyotaka yeye. Na sio majini, kuna watu hadi ndege alikuwa anawatumia.

Walikuwa wakimfanyia alipendalo)...
Quran 34:13

Ndiyo maana hapo imeandikwa walikuwa wanamfanyia vitu ambavyo apendavyo. Usipende kupotosha kijana. Na hiyo kubusu kitu kina tatizo gani kwako?
 
Kwa hiyo jamaa hapa kwenye picha anaabudu msalaba au anamuabudu Mungu au anaabudu vyote kwa mpigo.
Nauliza kwa wema tuu mkuu, samahani saaana kama takua nimekukosea.View attachment 2150217
Kwa yeyote mwenye mapenzi mema kama kweli unataka kujifunza jambo juu ya Ukatoliki tafuta hiki kitabu au nenda YouTube msikilize huyu Author Dr Scott Hahn. Kitakusaidia sana, ila kama hutaki kukutana na kweli achana nacho.

Huyu alikuwa bingwa wa kulipinga Kanisa Katoliki, a Protestant Pastor na hadi leo vitabu vyake vinatumika huko kwenye vyuo vya kichungaji kujenga hoja kinyume na Kanisa Katoliki. Kwasasa ni Mkatoliki, kasome safari yake na mke wake wakiwa wachungaji waliokuwa wakichunga Kanisa kubwa.

Hutaki kujifunza baki na kile ulichonacho juu ya Ukatoliki.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…