Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tatizo halipo kwa polisi bali kwa mamlaka.... Kama Mungu yupo bas atashughulika na mamlakaPolisi kama polisi hawajawahi kukutana na mkono wa Mungu, wasichezee imani ya waumini hao
Wanaonekana kama wajinga lakini wataudondosha mtiWakati Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam likiwakamata baadhi ya waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Clory of Christ Church), baadhi ya waumini wameendelea kufanya maombo nje ya makao makuu ya kanisa hilo Ubungo Maji jijini hapa.
Soma pia: Askofu Gwajima awaongoza waumini kuimba Tanzania nakupenda
View attachment 3354541
Usinuingize Yesu kwenye haya, wapinge wanadanu lakini usitukane matukufu usioyajua.wanapiga makelele yanini hapo washenzi hao.tokea lini yesu akajibu?.
Mcheza x og humfahamu?Sasa hao waumini wa mcheza X unaona ni wazima kweli?