Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani

Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani

CHADEMA uchwara wanapokenua badala ya kuongeza msukumo wa kwenye hoja ya kudai mabadiliko.
Hahaha jidanganye wewe, Gwajima ccm hawezi kurusha mawe upande aliopo yeye.

Akitaka kurusha mawe ahamie huku tuliko ili tuyarushe pamoja vizuri.

Wapi umeona mtu akijirushia mawe?
 
Hapa lazima tusahau waliotekwa na walioko korokoroni, mkubwa ni mkubwa tu, jiwe moja ndege wawili Chali.
 
Wahamie kwenye makanisa mengine, askofu wao alishayakoroga siku nyingi tangu enzi za kardinal pengo, bashite nk mara ageukie siasa Mungu alishamwacha siku nyingi lilikuwa swala la muda tu Mungu hadhihakiwi namshauri Gwajima atubu na awaombe msamaha wote aliowaudhi ndipo Mungu atamsamehe
Umenena mkuu KANISA la RC walikasilika sana kile kipindi !!!

Gwajima anashida kidogo pengine !!!

Mizozo kama hiii anaipenda sana Gwajima !!

ndiomana kwasasa kawaiwa Washamjua Akili yake !!!

Paul Makonda alitumia Kanisa lake kujibishananae !!!

akaja Askofu Pengo pia Gwajima katumia Kanisa lake!!!!

adi akaitwa kichuguu na Askofu pengo!!!

Sasa kakutana na Wajanja Wamezima kipasa sauti asubui na mapema!!!!
 
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa.

Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.

Ni vichaa waondolewe tu. Huwezi kuacha kutii mamlaka na kutii mtu, gwajima. Hata Magufuli asingelikubali hilo
 
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa.

Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.

Wamevimbiwa na amani hao, bila amani hakuna mahubiri.
 
Polisi wafanye kazi yao waliyosomea kusambaratisha hilo kusanyiko haramu
 
Back
Top Bottom