maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Usilazimishe watu waabudu unachokitaka wewe. Uhuru wa kuabudu ni pamoja na kuabudu kupitia kanisa la ufufuo na uzimaWahamie kwenye makanisa mengine, askofu wao alishayakoroga siku nyingi tangu enzi za kardinal pengo, bashite nk mara ageukie siasa Mungu alishamwacha siku nyingi lilikuwa swala la muda tu Mungu hadhihakiwi namshauri Gwajima atubu na awaombe msamaha wote aliowaudhi ndipo Mungu atamsamehe