Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Hao ni vichaa watapata wanachokitafutaWaumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa.
Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.
Hiyo ni lugha gani wanayoitumia, ila watu wanaoenda huko no stress za maisha zinawapeleka, Gwajima ni tapeli tu hakuna askofu paleWakati Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam likiwakamata baadhi ya waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Clory of Christ Church), baadhi ya waumini wameendelea kufanya maombo nje ya makao makuu ya kanisa hilo Ubungo Maji jijini hapa.
Soma pia: Askofu Gwajima awaongoza waumini kuimba Tanzania nakupenda
View attachment 3354541
Hiyo ni lugha ya mbinguni --- kubali tu kuna mambo mengine hauyajui (1 Wakorintho 2:15)--- Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.Hiyo ni lugha gani wanayoitumia, ila watu wanaoenda huko no stress za maisha zinawapeleka, Gwajima ni tapeli tu hakuna askofu pale
Una mengi ya kusema ila mdomo umejaa maji.Ngoja niwe kama samaki....
Wajinga ndio waliwao.Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa.
Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.
Wahamie kwenye makanisa mengine, askofu wao alishayakoroga siku nyingi tangu enzi za kardinal pengo, bashite nk mara ageukie siasa Mungu alishamwacha siku nyingi lilikuwa swala la muda tu Mungu hadhihakiwi namshauri Gwajima atubu na awaombe msamaha wote aliowaudhi ndipo Mungu atamsameheWaumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa.
Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.
Ni sawa kabisa kulifungia,Hata vyombo vya habari hufungiwa na siyo mmiliki wa chombo.Busara haikutumika kufunga kanisa.
Hasira na ubabe vilitumika zaidi.
Hahaha kama Gaza vile.
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa.
Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.
Watu wameacha bangi na mafekeche yote wakasema mungu ..........anatosha ogopa sanaPolisi kama polisi hawajawahi kukutana na mkono wa Mungu, wasichezee imani ya waumini hao
Kuna taarifa inatembea Huko twitter inadai kwamba baadhi ya wazee wa heshima Huko CCM wanataka kukutana na GWAJIMA ili aende afungue kesi mahakamani na hukumu itatoka Kwa kushida kesi hiyo ili ionekane kuwa mama hakuwa na shida na GWAJIMA Bali ni makosa ya aliyefunga kanisa....Busara haikutumika kufunga kanisa.
Hasira na ubabe vilitumika zaidi.
Swadaktaaa....naogopa ugeni 🙆Una mengi ya kusema ila mdomo umejaa maji.
We ongea tu madam, usiposema wewe, nani atakusemea?Swadaktaaa....naogopa ugeni 🙆
Muliro ana kisiran na ukristoP
Tatizo halipo kwa polisi bali kwa mamlaka.... Kama Mungu yupo bas atashughulika na mamlaka
Wote tukiongea nani atasikiliza?wengine tunakuwa wasikilizaji na wapiga makofiWe ongea tu madam, usiposema wewe, nani atakusemea?
Je, historia itakukumbuka kwa lipi?
Hakuna Mungu.P
Tatizo halipo kwa polisi bali kwa mamlaka.... Kama Mungu yupo bas atashughulika na mamlaka
Polisi kama polisi hawajawahi kukutana na mkono wa Mungu, wasichezee imani ya waumini hao