Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani

CHADEMA uchwara wanapokenua badala ya kuongeza msukumo wa kwenye hoja ya kudai mabadiliko.
Hahaha jidanganye wewe, Gwajima ccm hawezi kurusha mawe upande aliopo yeye.

Akitaka kurusha mawe ahamie huku tuliko ili tuyarushe pamoja vizuri.

Wapi umeona mtu akijirushia mawe?
 
Hapa lazima tusahau waliotekwa na walioko korokoroni, mkubwa ni mkubwa tu, jiwe moja ndege wawili Chali.
 
Umenena mkuu KANISA la RC walikasilika sana kile kipindi !!!

Gwajima anashida kidogo pengine !!!

Mizozo kama hiii anaipenda sana Gwajima !!

ndiomana kwasasa kawaiwa Washamjua Akili yake !!!

Paul Makonda alitumia Kanisa lake kujibishananae !!!

akaja Askofu Pengo pia Gwajima katumia Kanisa lake!!!!

adi akaitwa kichuguu na Askofu pengo!!!

Sasa kakutana na Wajanja Wamezima kipasa sauti asubui na mapema!!!!
 
Ni vichaa waondolewe tu. Huwezi kuacha kutii mamlaka na kutii mtu, gwajima. Hata Magufuli asingelikubali hilo
 
Wamevimbiwa na amani hao, bila amani hakuna mahubiri.
 
Polisi wafanye kazi yao waliyosomea kusambaratisha hilo kusanyiko haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…