maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Usilazimishe watu waabudu unachokitaka wewe. Uhuru wa kuabudu ni pamoja na kuabudu kupitia kanisa la ufufuo na uzimaWahamie kwenye makanisa mengine, askofu wao alishayakoroga siku nyingi tangu enzi za kardinal pengo, bashite nk mara ageukie siasa Mungu alishamwacha siku nyingi lilikuwa swala la muda tu Mungu hadhihakiwi namshauri Gwajima atubu na awaombe msamaha wote aliowaudhi ndipo Mungu atamsamehe
yesu sio mungu kenge weweNyamaza ujui utendalo mwache mungu aitwe mungu
pimbi haoWampigie simu atakuja yuko Australia yule mzungu
Wachezee vyama vya siasa ila iman hapana aisee, hizi imani huwa zinafanya watu wafanye mambo ambayo ni mazitoPolisi kama polisi hawajawahi kukutana na mkono wa Mungu, wasichezee imani ya waumini hao
😹😹😹Kila binadamu ni mcheza X.
Utofauti ni kwamba wengine wanafanya X sirini, Wengine wanafanya X waziwazi.
Huna Akili wewe.wanapiga makelele yanini hapo washenzi hao.tokea lini yesu akajibu?.
Kenge ni yule asiyejua imani ya mtu haiwezi kuingiliwa na mtu na anataka watu waamini anavyoamini yeye kenge.yesu sio mungu kenge wewe
Kanisa la ufufuo na uzima limefutwa halipo tena, siwalazimishi nawashauri kuliko kuendeleza migogoro na mamlaka heri kuhamia makanisa mengine yanayoendana naoUsilazimishe watu waabudu unachokitaka wewe. Uhuru wa kuabudu ni pamoja na kuabudu kupitia kanisa la ufufuo na uzima
Jumapili ibada itakuwepo kama kawaida iwe barabarani au popote ila itafanyikaKanisa la ufufuo na uzima limefutwa halipo tena, siwalazimishi nawashauri kuliko kuendeleza migogoro na mamlaka heri kuhamia makanisa mengine yanayoendana nao
Wewe makoye ukiambiwa uhamie uhindu utakubali? Huwezi kuniambia nihamie RC au sijui Uhindu wakati mimi ni ufufuo na uzima. Siabudu kwenye dini unayonipangia.Kanisa la ufufuo na uzima limefutwa halipo tena, siwalazimishi nawashauri kuliko kuendeleza migogoro na mamlaka heri kuhamia makanisa mengine yanayoendana nao