Waumini wa Kanisa la Gwajima wafanya maombi na Ibada nje ya Kanisa hilo Ubungo

Waumini wa Kanisa la Gwajima wafanya maombi na Ibada nje ya Kanisa hilo Ubungo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Baadhi Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam ambalo limefungiwa na Serikali, wamejitokeza eneo la pembezo na Kanisa hilo wakiimba nyimbo mbalimbali za Dini.

Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea Kanisa hilo limefungwa na limezungukwa na Askari Polisi waliovalia sare tangu siku ilipotolewa taarifa ya zuio la Kanisa hilo (Juni 2, 2025) linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kuendelea kutoa huduma kwa kile kilichoelezwa kutoa matamshi ya Kisiasa yenye lengo la kuichonganisha Serikali na Wananchi.

WhatsApp Image 2025-06-08 at 10.55.03_b7ea14d3.jpg



​
Pia soma ~ Waumini wa Gwajima watakiwa kusalia nyumbani
 
Haki ya kikatiba ❌
Uvunjifu wa amani✔️

My country😥😥
 
Walifikiri ni utani...
Unacheza na Serikali...
Waoumbavu
 
Baadhi Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam ambalo limefungiwa na Serikali, wamejitokeza eneo la pembezo na Kanisa hilo wakiimba nyimbo mbalimbali za Dini.

Hata hivyo, wakati hayo yakiendelea Kanisa hilo limefungwa na limezungukwa na Askari Polisi waliovalia sare tangu siku ilipotolewa taarifa ya zuio la Kanisa hilo (Juni 2, 2025) linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kuendelea kutoa huduma kwa kile kilichoelezwa kutoa matamshi ya Kisiasa yenye lengo la kuichonganisha Serikali na Wananchi.
Pia soma ~ Waumini wa Gwajima watakiwa kusalia nyumbani

Okay

Walifikiri ni utani...
Unacheza na Serikali...
Waoumbavu

Kwa akili yako uliyonayo unafikiri kwamba SSH na Utawala wake watashinda Vita hii waliyoanzisha ya Kufungia Makanisa, na kupoka Haki za Watu za Uhuru wa kuishi na Uhuru wa kuabudu? Unadhani kwamba Watawala watashinda Vita ya namna hii?

In fact, kama utakuwa siyo Mtu mnafiki, basi lazima utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba Samia and her Regime is FIGHTING THE LOOSING BATTLE!
Ukiwa mkweli kabisa kabisa moyoni mwako, basi lazima pia utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba She will face a Catastrophic defeat in this battle!

Masuala haya ya HAKI ya kuabudu na Imani za dini ni Miongoni mwa masuala magumu Sana hapa duniani katika kupambana nayo au kuweza kuyadhibiti. Vita vya kidini ni Vita vigumu Sana.
 
Back
Top Bottom