Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Eeh..karibuNaona hapo baba paroko unapata kitimoto huku umefura kwa hasira.
Eeh..karibuNaona hapo baba paroko unapata kitimoto huku umefura kwa hasira.
Endelea kuwa mpumbavu..
TII MAMLAKA..
Nenda basi uone...Hakuna Mtu yoyote yule au Raia yoyote yule hapa duniani ambaye anawajibika kutii AMRI isiyokuwa halali au kutii Mamlaka isiyokuwa halali. Ni Amri na Mamlaka halali tu ndizo ambazo Watu wote wanapaswa kuzitii na kuziheshimu.
Uhalali wa Mamlaka yoyote ile unaweza kubatilika kisheria wakati wowote ule endapo kama Mamlaka hiyo itajihusisha na mambo yasiyofaa na yasiyokuwa halali kisheria. Mambo yaliyo halali kisheria na Mambo yenye utukufu peke yake ndiyo guarantee ya kuweza kuifanya Mamlaka yoyote ile kuendelea kubaki kuwa halali.
Vitendo viovu vya Utekaji Watu, Ubakaji, ulawiti, kutealsa Watu, kuwapoteza kwa nguvu, na kuwaua kamwe havijawahi kuwa halali mahali popote pale.
Hapana kisasi ni khaki ya BWANANatamani Rais Mkristu aje alipize huu ushezi tena alipizie huko Kizimkazi
Mfano wale maimamu magaidi.. mbona hawakufunga misikiti?Kwahiyo Imam akitofautiana msimamo na serikali wataenda kuufungia msikiti au wata deal na Imam?
Mtu mwenye upeo mkubwa hawezi kuwa na washauri wenye upeo mdogo, ndege wafananao huruka pamojaWashauri wa ⌚💯 wanaupeo mdogo sana.
Ila Sasa Hivi Kashasepa 🤣🤣🤣
mmepigwa mabomu ya machozi kidogo tu kila mtu kala nyoyaOkay
Kwa akili yako uliyonayo unafikiri kwamba SSH na Utawala wake watashinda Vita hii waliyoanzisha ya Kufungia Makanisa, na kupoka Haki za Watu za Uhuru wa kuishi na Uhuru wa kuabudu? Unadhani kwamba Watawala watashinda Vita ya namna hii?
In fact, kama utakuwa siyo Mtu mnafiki, basi lazima utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba Samia and her Regime is FIGHTING THE LOOSING BATTLE!
Ukiwa mkweli kabisa kabisa moyoni mwako, basi lazima pia utakubaliana na Ukweli mchungu kwamba She will face a Catastrophic defeat in this battle!
Masuala haya ya HAKI ya kuabudu na Imani za dini ni Miongoni mwa masuala magumu Sana hapa duniani katika kupambana nayo au kuweza kuyadhibiti. Vita vya kidini ni Vita vigumu Sana.
#UkikaidiUtapigwa2Kuwa mkirsto ni kosa kwa sasa tanganyika
Sisi ndio SuperPower nchi hii #UkikaidiUtapigwa2Natamani Rais Mkristu aje alipize huu ushezi tena alipizie huko Kizimkazi
Ni yeye huyo ? au kopi yake?
Angalia post # 27 na # 30Kwani Gwaji Man yuko wapi??
Una mawazo ya kijinga na kipumbavu kabisa.Natamani Rais Mkristu aje alipize huu ushezi tena alipizie huko Kizimkazi
Halleluyah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jasusi la mbinguni lilishiriki 😅😅😅😅😅 haki huyu baba kashindikana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌