Waumini wa Kanisa la Gwajima wafanya maombi na Ibada nje ya Kanisa hilo Ubungo

Endelea kuwa mpumbavu..
TII MAMLAKA..

Hakuna Mtu yoyote yule au Raia yoyote yule hapa duniani ambaye anawajibika kutii AMRI isiyokuwa halali au kutii Mamlaka isiyokuwa halali. Ni Amri na Mamlaka halali tu ndizo ambazo Watu wote wanapaswa kuzitii na kuziheshimu.

Uhalali wa Mamlaka yoyote ile unaweza kubatilika kisheria wakati wowote ule endapo kama Mamlaka hiyo itajihusisha na mambo yasiyofaa na yasiyokuwa halali kisheria. Mambo yaliyo halali kisheria na Mambo yenye utukufu peke yake ndiyo guarantee ya kuweza kuifanya Mamlaka yoyote ile kuendelea kubaki kuwa halali.
Vitendo viovu vya Utekaji Watu, Ubakaji, ulawiti, kutesa Watu, kuwapoteza kwa nguvu, na kuwaua kamwe havijawahi kuwa halali mahali popote pale.
 
Nenda basi uone...
 
Kwahiyo Imam akitofautiana msimamo na serikali wataenda kuufungia msikiti au wata deal na Imam?
 
mmepigwa mabomu ya machozi kidogo tu kila mtu kala nyoya
 
Natamani Rais Mkristu aje alipize huu ushezi tena alipizie huko Kizimkazi
Sisi ndio SuperPower nchi hii #UkikaidiUtapigwa2
Bado vilio kusikika ndio mkileta upuuzi mtapigwa tu hakuna namna
 
Halleluyah 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Jasusi la mbinguni lilishiriki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haki huyu baba kashindikana πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…