Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimeangalia clip ya wanaojitahidi waumini wa GeorDavie au wafanyabiashara soko la Samunge Arusha utagundua binadamu wanapenda kumsingizia Mungu.
Kwanza kwao, tishio la mauaji, as long haligusi watoto wao, siyo shida. Wanaona kama Lema anaigiza kisa kugusa milioni mia moja. Hakuna mcha Mungu anaweza kuweka msaada mbele na Mungu nyuma, watathimini nafsi zao.
Pili, uzuri wa GeorDavie kwao si kuwa mtumishi wa Mungu. Wao kwao ni magari anayotoa na maisha ya kifahari. Waumini wa aina hii sidhani kama wanapata muda wa kusoma Biblia.
Tatu, kwa aina ya mwonekano, siyo waumini wa GeorDavie. Wana sura ambazo zinatokea kwenye viti virefu hivyo uwezekano kanisa na nabii ametumika kama gia kuwasilisha maumivu ya watawala. Next time watafute watu sahihi kwenye maigizo kama haya.
Mwisho, viongozi wa dini jitahidini kuwalinda sana waumini wenu wasiwaingize kwenye migogoro ya kisiasa. Hawa wanasiasa wanaoonekana kuwa upinzani huko Tanzania kesho watakaa viti vya mbele, aidha wakiwa upinzani au wakiwa chama tawala. Taasisi za dini jitenge na wanasiasa.