Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.

Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.

Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?

Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.

Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exacly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.

Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?

Kupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados
 
Back
Top Bottom