Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
wakiristo wanakila mbinu yakuibia watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hawanikukumbatiana kwenda mbele wale nimwendo wabakora vurugu tupuKupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados
View attachment 2761518
eeeimen kubwaaaaaCharaza nyumbu hao
wakiristo wengi wajinga sana aibuyao hiiHivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?
Tutanyonga wangapiHuyu mchungaji ni wakunyongwa hadharani.
Hii miboko sio poa kabisa.
Naunga mkono hojaDini bila kuishirikisha akili ni ujinga
Naunga mkono hoja 👍Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Hapo wanafanya kazi ya shetani hakuna Mungu hapoMwingine anagawa upako kwa kutumia Denda
View attachment 2761581
Mbona alishapatikana wewe unaishi wapi? Yupo Paul Mckenzie aliwafukia km woteKibwetere aliua kabisa hizi ndezi! Kwa mwendo huu soon tupata shujaa mwingine kama Kibwetere!
Tutanyonga wangapi
Swala la Paul macknzie me naona Kuna Utata mwingi sana Tena sio kidogo Cuz ni vigumu Sana kukuta Mchungaji kama huyo mwenye kanisa changa....Mbona alishapatikana wewe unaishi wapi? Yupo Paul Mckenzie aliwafukia km wote
Daaa hii hatariHivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.