El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
imebaki mashine ya upako tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafika hiyo idadi vizuri tu. Hivi kwa Mwamposa wako wangapi? Siku akiamua kuwa Mackenzie unadhani wangapi watakufa?Swala la Paul macknzie me naona Kuna Utata mwingi sana Tena sio kidogo Cuz ni vigumu Sana kukuta Mchungaji kama huyo mwenye kanisa changa....
Lisilo kuu kama haya Roman,Lutheran na mengine Kuwa na Waumini zaidi ya 500.....Naona hilo ni Swala la national security Huenda alikuwa na Watumishi hawzidi 100 na huenda waliokufa walikuwa chini ya 30 ila kuna Swala halijakaa sawa kwa Uchunguzi wa haraka haraka
Inasikitisha sana. Hala wala siyo Wakristo bali ni opportunist wanaotumia fursa ya kukusanya wajinga waliomo ndani ya Ukristo.wakiristo wanakila mbinu yakuibia watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hawanikukumbatiana kwenda mbele wale nimwendo wabakora vurugu tupu
ngoja tuone manakilasiku wanakuja navioja vipyaInasikitisha sana. Hala wala siyo Wakristo bali ni opportunist wanaotumia fursa ya kukusanya wajinga waliomo ndani ya Ukristo.
Unaruka na asiye na mwenza, sharti ni kufananisha nguo tu. Zisipofanana kaa kando hata kama ni mkeoKama hauna mke au mpenz unafanyaje mkuu hapa
Mkuu nakushauri jikite Halafu fuatilia hiyo case kwa ukaribu zaidi...Wanafika hiyo idadi vizuri tu. Hivi kwa Mwamposa wako wangapi? Siku akiamua kuwa Mackenzie unadhani wangapi watakufa?
Wacha watandikwe sana mpaka akili ziwarudie...Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?
Hahaah imagine ni ndugu yako unamuona utamshauri niniWacha watandikwe sana mpaka akili ziwarudie...
Huyu ni mchungaji wa kondoo(hayawani) na si binadamu, ipo siku yatamkuta huyu si kwa bakora hizi. Ni kweli watu wanataka kufanikiwa lakini si kwa kupigwa bakora.Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?
Mhmm! Kumbe ndio ilivyo basi nitakucheck uniambie wanaohusika mkuuMkuu nakushauri jikite Halafu fuatilia hiyo case kwa ukaribu zaidi...
utang'amua japo kuna what public told us to hear ila kuna siri nyingi kwenye hicho kitu nimeifatilia tangu inaanza na kwa uzoefu kidgo na kwa elimu chache niiliyonayo hii ishu sio ya macknzie mzeee kaangushiwa jumba...japo nayeye pia kaua kadhaa ila kwa hiyo idadi naaah
Mfano ntakupa quotes baadhi katika moja ya taarifa ya Kesi yake...as reported by DCI
- "the fast would count only if they gathered together, and offered them his farm as a fasting venue. They were not to mingle with anyone from the 'outside' world if they wanted to go to heaven and were to destroy all documents given by the government, including national IDs and birth certificates."On 26 May, Interior Cabinet Secretary Kithure Kindiki said that Mackenzie hired criminals armed with crude weapons to kill followers who changed their minds about fasting and wanted out, as well as those who took too long to die.
Pia
- 133 deaths were reported as of 10 May 2023,[soma hapa] including eight who were rescued but later died.
Pia soma;...
malizia hapa;
- there were other methods used, including hurting them, just by physical and preliminary observations."Autopsies conducted on more than 100 bodies showed that the victims died of starvation, strangulation, suffocation and blunt trauma.
- Police authorities claimed that some of the bodies were missing organs, which "raised suspicions of forced harvesting".
- However, on 10 May, Kindiki refuted these assertions as "politicization of the probe into the massacre," and advised the public to "treat it [allegedly missing body parts] as rumours. People who have facts are those on the ground not those in offices."As of 8 May, autopsies performed on 112 of the exhumed bodies ruled out the possibility of organ harvesting.
So anaweza kuwa ana makosa yake but trust me Dont mess with the government Yoyote duniani watakufanya chambo kwenye mambo yao yoyote ili Kikukute kitu...
But this guy alimess up na gavo mwaka 2017 so wakasubiria tu ...but trust me this kitu anahusika nacho kwa only 20%
na kama una elimu ndogo ya INTELLIGENCY na INVESTIGATION utagundua kuna something fishy here
Unaweza ukasoma pia hapa
Good News International Ministries - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Pia na...
"More bodies found in search for Kenyan forest death cult followers"
🤣🤣🤣🤣 Mkuu wanaohusika siwajui nimekupa just #Facts Checking examination tu......Mhmm! Kumbe ndio ilivyo basi nitakucheck uniambie wanaohusika mkuu
🤣🤣🤣 nakutafuta una kitu wewe🤣🤣🤣🤣 Mkuu wanaohusika siwajui nimekupa just #Facts Checking examination tu......
Hiyo ni Matter ya NATIONAL SECURITY WACHA WAPAMBANE NAYO KIINTELIJINSIA KAMA WAKENYA 🤣👏👏
Kweli kabisa. Kibwetere yeye aliwaua na akasepa. Mtu hataki kutumia akili zake utafanyaje.Kibwetere aliua kabisa hizi ndezi! Kwa mwendo huu soon tupata shujaa mwingine kama Kibwetere!
Shida watu wengi hawana maarifa ya Mungu ila wanalazimisha kufanya kazi ya Mungu.MWINGINE HUYU YALIMKUTA HUKO KIGOMA KAKUTANA NA GABRIEL 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2761576
Makenzie wazamani Sana, ila hii issue ndio imemfanya afahamike kwa kasi.Swala la Paul macknzie me naona Kuna Utata mwingi sana Tena sio kidogo Cuz ni vigumu Sana kukuta Mchungaji kama huyo mwenye kanisa changa....
Lisilo kuu kama haya Roman,Lutheran na mengine Kuwa na Waumini zaidi ya 500.....Naona hilo ni Swala la national security Huenda alikuwa na Watumishi hawzidi 100 na huenda waliokufa walikuwa chini ya 30 ila kuna Swala halijakaa sawa kwa Uchunguzi wa haraka haraka
Namfahamu na kanisa lake nalifahamu kitambo sana na aliwahi kukamatwa pia mwak 2017 akashinda kesiMakenzie wazamani Sana, ila hii issue ndio imemfanya afahamike kwa kasi.