Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?j