Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

Ifike mahali taasisi za kidini zikemee na kutoa adhabu kwa sababu hii ni mbaya kwa vizazi vinavyokuja ...Kuchezea dini kiutani baadae inakuwa mazoea kabisa na kupoteza mvuto wa maandiko halisi.
Mkuu Dini ni imani sio sheria wala ithibati
 
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.

Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.

Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?j

Ushirikina Una mawanda mapana
Unaweza kua mshirikina ukafikiri uko Sawa
Maana Harish ya ushirikina ni kumhusianisha MUNGU nguvu zake na MTU kitu au Jambo lolote litakalo simama kama MUNGU hiyo ndiyo ushirikina (shiriki)
MUNGU ni mwenye wivu hafananishwi na yeyote au chochote

Hukumu ni ya MUNGU

MUNGU ndiye hulipa kisasi

Acha magugu na Nagano yakue pamoja siku ya mavuno Ngano itatengwa na magugu nayo magugu yatachomwa Moto
Huko ni kutisha kuogofya kutweza Kwa faida binafsi
Isijekua tabu ukihitaji takwa furani
 
Mkuu Dini ni imani sio sheria wala ithibati
Sawa ila hii inapelekea katika upotovu na pia imani ya mtu inaendana na matendo ,huwezi kuwa na imani halafu mzinzi ,unavaa uchi ,unafanya mambo ya hovyo ,kuchapa watu kama hivyo ni kudhalilisha watu.
 
Je na yeye akikwambia kuwa roho mtakatifu aliyemtokea yohana kumwambia adumbukize watu kweny maji ndo kamtokea kamwambia awacharaze utamwamini? Kwamba ili kuondoa uovu lazima ucharazwe?
 
1695725960358.png
Kwakweli kabisa mi ntu akiniHULA nayeye namHULA! SIKOPESHANAGI!
 
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.

Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.

Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?

Attachments

  • Screenshot_20230927-111542.jpg
    Screenshot_20230927-111542.jpg
    79.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom