Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exactly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo kutokana na lugha niliyoisikia na sehemu kanisa lilipoandikwa kuwepo ) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?
Siku hizi wachungaji wengi wanahubiri au wanawaahidi waumini wao mafanikio ya kidunia na sio mahubiri ili muumini aje kuuona ufalme wa Mungu/kwenda mbinguni/kwenda peponi.
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi karibuni nchi za jirani (siko exacly ni sehemu gani ila nahisi ni Kongo) kumeibuka mchungaji ambaye huwacharaza waumini wake fimbo barabara, huku akiwaahidi kupokea upako baada ya macharazo hayo.
Sijui ni kuwa tumeacha misingi ya Dinu au watu wmekosa Akili? Au ndio vile husema kuwa Dini ni Imani isiyoweza kuhusisha akili?
Kupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados
Kupanga ni kuchagua. Wakati hao wanasali kwa jacho machozi, machungu, maumivu na damu, wenzao huku wana sali kilaiiinii kama vile wapo Santorini au visiwa vya Barbados View attachment 2761518
Tena kuona watu wengi kiasi hicho kijana mmoja aliyechanganyikiwa anwachapa bakora za haja inaumiza sana AFU ukute ndo mama yako au mjomba wKo wanaramba stick za kutosha aah mchungaji mie atakuwa mfano kwanza
Siku hizi wachungaji wengi wanahubiri au wanawaahidi waumini wao mafanikio ya kidunia na sio mahubiri ili muumini aje kuuona ufalme wa Mungu/kwenda mbinguni/kwenda peponi.